MaRijali hula kizuri na kutoa kizuri zaidi (millions) !! mmmmh mimi simo!
Sasa hawa mashosti wanao kata maua hawajui tu kuwa wanakosa vingi
OMG ! niwieRadhi deni lipo shingoni kwangu!!nyuki rijali Zamiluni...sijasahau!
Ndo maana napenda asali hasa ya nyuki wadogo
OMG ! niwieRadhi deni lipo shingoni kwangu!!
Hii mada kiukweli sijaielewa
Sikuwii radhi,marijali wanalipa madeni yao kwa wakati na deni nikilitoa shingoni hapo nitakapoliweka utajua yupi mzuri nyuki mkubwa au mdogo? lol
Nipo ktk kujenga nyumba ya nyuki.... ili Queen bee atuliye tupate asali kwa wingi !! Deni lako naomba mtume collecter aje kupoke 1st installment... inshallaSikuwii radhi,marijali wanalipa madeni yao kwa wakati na deni nikilitoa shingoni hapo nitakapoliweka utajua yupi mzuri nyuki mkubwa au mdogo? lol