palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
mzee wa mechepukoMwenye wife ndo kazimia wajameni,presha presha na wife wake kafika hapa muda si mrefu tunashindwa namna ya kumwambia,mwizi kachimba hayupo hatujui kama kamjuza au?
Haya mambo ya kupewa story kama naangalia episode sipendi kabisa
Mwenye wife ndo kazimia wajameni,presha presha na wife wake kafika hapa muda si mrefu tunashindwa namna ya kumwambia,mwizi kachimba hayupo hatujui kama kamjuza au?
Amemgecha mapanga nn, make nyinyi wa Tarime (Mara) hamuwacheleweshi watu kama hao!
aiseee sasa nasubiria hapa hapa kudadeki kuliwa mke si kitu kizuri ujue ... mume wa mtu maziwa mke wa mtu ni panga...Tarime one mpigeni tu msimfumue marinda
Ajali kazini mkuu ila haipendezi kula cha rafiki yako kipenzi.
mwambieni ukweli na ajue cha kufanya mapema otherwise jamaa akiamuka tu huyu mke atapata shida sana
Inavyoonekana keshaambiwa kaja na mabodygurd a.k.a ndugu zake we don't know wana discuss nini.
jamaa vipi bado haaamka tu?
Yap gud news kazinduka na anajitambua kaomba kuonana na mkewe lets wait.
coming soon wait
Mpaka lini