kumbe kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by upele, Mar 5, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku hizi majimama wanawapenda vijana why kama jimama huyu aliesema simuachi labda afe siwahi kuona hivi kwanini wanajamii inakuwa hivyo
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  ulikuwa unataka kusema nini hasa?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,196
  Likes Received: 3,131
  Trophy Points: 280
  upele

  nexty??
   
 4. T

  Tall JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa sababu ileile iliopelekea vijana nao wawa pende majimama.HUDUMA
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Mkuu UPELE uko sawa kweli besti?
   
 6. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndo manake ndugu yangu Upele, hii inadhiirisha ni jinsi gani walivyokata tamaa na maisha kutoka na mabehaviour ya waume zao kutowaridhisha. Au ulikuwa unamaanisha majimama yalio single...ikiwa hivyo pia, ni kutokana na hao mibaba ya size zao wamekimbilia dogodogo ambapo unakuta na wao wanakosa wakuwaburudisha. Nadhani hata wenyewe ukiingia ndani ya nafsi zao kwa kweli wasingependa kuwa na hao sengereti...hapo nao wamefumba macho kama hawaoni vile.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,016
  Trophy Points: 280
  nahisi upele anawashwa
  labda akunwe kidogo lol ha ha ha.
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  vijana wa siku hizi wanajua kusebena! acheni majimama wale raha! vijana wa zamani mambo kama haya wayajulie wapi? hivi unaweza kumwambia kijana wa zamani aende uvinza na akakuelewa? hehehe! jibu unalo! ngoja tuendelee kuhudumia mizigo mikubwa mikubwa tu!
   
 9. Sydney

  Sydney Senior Member

  #9
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UPELE jamani sijakuelewa hata kiduchu!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Sio kweki! Ukiona kijana anapeleka moto kwa mdada oversize ujue kuna lulu involved. In order to forgo visichana vibichi ni lazima kuwe kuna gain in the other side.
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hahahahaha! jamani jamani wamama wanajua kuhudumia! hasa wenye chapaa! ukiomba kitu lazima atoe kwani anajua unaweza kusitisha huduma dakika yeyote! Hawa wamama wanaponzwa na kitu kimoja! wanapenda kwenda na serengeti zao katika vikao vyao vya starehe sasa huko mara nyingine waga wanazungukana! Mwenzake akipandisha dau basi kuna uwezo wa kuporwa kaserengeti kake. Ndio maana wanakunja sana mshiko! Hehehehehe, acheni serengeti wale maisha!
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mi mwenzenu sijaelewa kabisaaa what ndugu yangu upele iz tryn 2 say!hongereni mlioelewa!
   
 14. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #14
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,975
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mapenzi hayaangalii umri Mkuu.
   
 15. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 1,977
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Judith Wambura @ Lady JayDee with Wanaume kama Mabinti. Wamama wengi wenye chapaa waume zao wako bizee na kuongeza chapaa zaidi na kusahau jukumu lao la msingi ktk unyumba. Kama sio kusahau basi shinikizo la kuongeza chapaa linasababisha wawe na uwezo mdogo kukitanda na hapa ndipo THERENGETHI BOI anaingia kugawa huduma maalum ka kwenda uvinza, kuzunguka uwanja zaidi ya mara tano kwa muda mfupi,mzunguko mmoja wa uwanja kuchukua zaidi ya robo saa. Huduma kalikali kama hizi husababisha mmama apagawe na kugawa mapene ya kutosha. Kwa kuwa wanawake hawana siri huwasimulia mashoga zao ambao nao hutaka kuhakiki kama therengethi boi huyo anayaweza. Na hapo ndipo penye utamu. Pamoja na hayo namrudia JUdith Wambura- Wnaume kama mabinti
   
Loading...