Kumbe Kweli Uzee Mwisho CHALINZE!!!!!

Kumbe Kweli Uzee Mwisho CHALINZE!!!!!

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,421
Reaction score
139,282
ama kweli uzee mwisho chalinze hata kibao cha barabarani maeneo ya Chalinze kinaeleza.

134fe35f29168a0539d1e7830d2561ef.jpg


picha kwa hisani ya issa michuzi blog
 
Ankal huyo

Ankal anaingia mjini na kuuacha uzee chalinze.........nasikia wazee wa chalinze wameandamana uzee uishie mikese huko sio chalinze!
 
Ankal anaingia mjini na kuuacha uzee chalinze.........nasikia wazee wa chalinze wameandamana uzee uishie mikese huko sio chalinze!
Hata mimi nimesikia hivyo hivyo ikiwezekana iwe Moro kabisa
 
kutoka chalinze kuja DAR hamna mzee wote babe tu. kuanzia chalinze na kuendelea huko sijui mikese,msata ndio kuna wazee....

Umeambiwa uzee mwisho chalinze!
that means hata ukitoka dar, kibaha,picha ya ndege ukifika chalinze wewe ni bebi
 
Back
Top Bottom