Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Mar 20, 2012 #81 AK-47 said: View attachment 49480 Huyo nae mbunge wa Kenya Gideon Mbuvi aka Sonko aliamua kuingia na hereni bungeni akatimuliwa Click to expand... Kumbe hizi tabia ni za wakenya, kwa hiyo sioi ni mkenya??
AK-47 said: View attachment 49480 Huyo nae mbunge wa Kenya Gideon Mbuvi aka Sonko aliamua kuingia na hereni bungeni akatimuliwa Click to expand... Kumbe hizi tabia ni za wakenya, kwa hiyo sioi ni mkenya??
S Sinag Man Member Joined Mar 15, 2010 Posts 77 Reaction score 7 Mar 21, 2012 #82 kwanza huko kwenye kabila lake kutoboa sikio ni asili yao hilo si ajabu.
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Mar 21, 2012 #83 greenstar said: mbona hata masai wametoboa masikio nao ni cameruniz Click to expand... Hongera sana, no komenti, umewajibu vizuri
greenstar said: mbona hata masai wametoboa masikio nao ni cameruniz Click to expand... Hongera sana, no komenti, umewajibu vizuri
R rubby Senior Member Joined May 18, 2011 Posts 121 Reaction score 13 Mar 21, 2012 #84 Watoto wa mafisadi. Mafisadi watoto hasa haka kabinti
G geophysics JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 904 Reaction score 167 Mar 21, 2012 #85 Unauliza vumbi stoo...hujui kuwa ni mila za wenyeji wengi ARUSHA kutoboa masikio.... Mie sishangai
Wambugani JF-Expert Member Joined Dec 8, 2007 Posts 1,757 Reaction score 277 Mar 21, 2012 #86 Ukumbuke makabila ya Arusha wanatoboa masikio na wala sio SIKIO kama alivyotoboa Sioi. Huo utamaduni wa kutoboa sikio haupo Arusha wala Manyara.
Ukumbuke makabila ya Arusha wanatoboa masikio na wala sio SIKIO kama alivyotoboa Sioi. Huo utamaduni wa kutoboa sikio haupo Arusha wala Manyara.
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,473 Reaction score 757 Mar 21, 2012 #87 Punga hilo hamna kitu hapo iku hizi hata mapunga wanoa
Wambugani JF-Expert Member Joined Dec 8, 2007 Posts 1,757 Reaction score 277 Mar 21, 2012 #88 Ukumbuke makabila ya Arusha wanatoboa masikio na wala sio SIKIO kama alivyotoboa Sioi. Huo utamaduni wa kutoboa sikio haupo Arusha wala Manyara.
Ukumbuke makabila ya Arusha wanatoboa masikio na wala sio SIKIO kama alivyotoboa Sioi. Huo utamaduni wa kutoboa sikio haupo Arusha wala Manyara.
SINA JINA1 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 391 Reaction score 152 Mar 21, 2012 #89 Hatari sana
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Mar 21, 2012 #90 Ila Sioi ana GUTS... Pamela amelandana na Baba yake haswa sura!!! Mmh sasa inakuwaje wakiwa kwenye Malavi~davi???
Ila Sioi ana GUTS... Pamela amelandana na Baba yake haswa sura!!! Mmh sasa inakuwaje wakiwa kwenye Malavi~davi???