Hapo sasa tuko pamoja marianah nilijua tunaegemeana kumbe wote tuko sawa na wote tunaacha, sometimes bila hata sababu za msingi.. solution ni kwamba mpende akupendaye ..asiyekupenda .....RIP banza stone
Eti nina ng'ombe wangu,
Eti wa kidumedume,
Eti akitaka kwenda,
Eti mbaka asukumwe,
Eti vijana wa sasa,
Eti wapenda masomo,
Eti kofia kichwani,
Eti zinawapendeza.