tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,837
- 29,347
Kocha wa Mbeya City amewapiga 'stop' wachezaji wake kunyoa nywele staili ya kiduku ili kuwajengea nidhamu. Hivi kumbe kunyoa kiduku ni utovu wa nidhamu? Mbona karibu wachezaji wote wa Yanga wananyoa kiduku lakini nidhamu yao ya mpira iko juu? Sasa hicho kiduku kinaondoaje nidhamu mpaka uongozi wa klabu ya Mbeya City ukiogope? Mmesikia nyie wanyoa kiduku? Hamna nidhamu hata kidogo. Nawasilisha.