Kumbe kuna visivyong'aa lakini ni dhahabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe kuna visivyong'aa lakini ni dhahabu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bongolander, Aug 28, 2010.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Wakuu mnaweza kucheka na wengine mnaweza kuniona wa ajabu, lakini this is real. Jumamosi ya jana kona moja ya Arusha nilikuwa na "one night stand" nzuri sana. Nilianza last week kwenye duka moja kwa ajili ya kununua mahitaji madogo, na muuzaji alikuwa dada mmoja muarusha mkimya na kwa kweli alikuwa na reception ambayo hailipi hata kidogo, kama niki-rate from 1 to 10, basi ningeiweka kwenye level ya 3, nikisema 4 ntakuwa nimependelea sana. Lakini nikija kwenye upande wa ubongo wake nikiweka kwenye kipimo hicho hicho cha 1 to 10 basi naweza kusema ni well above 8 or close to 10. External appearance (kwa maana ya mavazi na mwili wake) very questionalable, na kama nikilinganisha na vigezo vya kina dada wa sasa wanaweza kumuita mtu wa miaka ya 47.

  Nasema niliona huyu dada smart kutokana na kuwa alivyokuwa akinijibu maswali madogo madogo niliyokuwa nauliza na alivyokuwa serious nilipokuwa nafanya utani fulani wa kijinga.Nikajisemea let me try to do a challenging thing or unthinkable thing, nikajaribu kum-convince tukapate kinywaji baada ya kazi zake, akacheka, tena akauliza unaumwa nini? it went on for like half an hour, baada ya kuwa serious kidogo akanipa namba ya simu kama kuniridhisha niondoke, to be precise kunifukuza. Na akasea baridi imeharibu ubingo wangu. Nikajaribu kubeep ile simu kweli nikaona simu yake inaita, so i went away.

  throught the week nikawa natuma sms, siku tatu za kwanza haikujibiwa hata moja lakini kuanzia alhamisi zikaja 2 tatu, na zikaendelea vizuri mpaka ijumaa. Ikaonekana kuwa jumamosi jioni anaweza kuwa na nafasi, kusema kweli nilipenda kuonana naye jioni yenye giza, and she accepted. lkn hakutaka kunywa in public so nikaona hii maana yake ni kwenda guest, and that is what we did. I had three beers she had 1 and a half.
  Bedmatics started and went on very well. Kusema kweli the machine is one of the best i have ever tried. hata sikuamini nikasema kumbe tumezoea kuangalia reception tu bila kufikiria mengine. Nasema hivi kwa kuwa kuna sista du mmoja alikuwa na bonge la reception lakini mashine ovyo kwelikweli, siwezi kusema mengine hapa.

  So in the end nikajaribu kumshukuru na kumpoza huyu mdau wangu na vijisenti, kwa kuwa alikuwa anaonekana kama kiuchumi yuko hoi. Akasema hakuwa anajiuza, amenipatia kitu ambacho na yeye alikuwa anahitaji na kama angekuwa na hela angenilipa, in fact we were mutual. Lakini aliuliza nini kimenifanya nichague mtu kama yeye ambaye hatuendani kabisa, kusema kweli nilitoa majibu ya uongo tu, na nilijua alijua kuwa naongopa, akasema haina maana kudanganya kwa kuwa hatutaonana tena. Akaniambia nisijefikiri kuwa nimendanganya kwa kuwa ameamua mwenyewe na amkuja mwenyewe kwa kuwa alimiss na alikuwa anahitaji. Kwa kweli niliona aibu, niliogapa hata kumwambia mashine yake ni nzuri na kuwa nilifurahia. Lakini kwa kweli it is golden.

  Nawashauri wanaume wenzangu, msije mkapuuza vinavyoonekana vibaya inawezekana kuna suprises kubwa sana ndani yake. Siwezi kusahau hii experience.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  una uhakika jana ilikuwa j'mosi? au ndio mambo ya kukopi na kupesti?....... good one though
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Thanks preta i mean to say ijumaa not jumamosi, besure not copy/cut paste ni personal experience.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  nimeshindwa kuedit
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ok nadhani ulienjoy sana......what if ukimtafuta mkaendelea.....umeoa?....sorry kama nimekukwaza
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  click kwenye "edit post"
   
 7. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nimejiuliza unae mke?
  hata hivyo mwanamme mpana wewe kama pazia la sinema!
   
 8. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  daah...................sasa mzee si uendeleze tu.................!hakuna mwanamke mbaya mkulu..............huyo ukimpiga sopusopu utaona atakavyovutia..................halafu hapo ndio itakuwa ile tunaita idara zote ziko kamili............!
   
 9. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  uzuri wa mwanamke sio sura
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Bongolander nikikuonaga kule kwene majukwaa ya wahishimiwa unakata nyanga huwa nlikuwaga nakuheshimugi sana, lakini kwa post hii umenikwaza sana. Itabidi ni-edit list yangu ya my heroes hapa JF.
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...AHA HA HAAA...!
  kazi na dawa bana. Huwezi jua, labda amesahau ku log out mtu anachezea id yake.
  Hujamsoma hapo juu, eti Bongolander jinsi alivyo 'veteran' JF anashindwa ku edit post?
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hata mie sielewi..labda ana kijana wake balehe inamsumbua...
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu umenifurahisha sana. Unajua tena kazi na dawa, ukiwa mfalme ambaye hujui watu wake basi unakuwa hufai kabisa. Ni lazima uwe mmoja wa watu wako na hapo ndio utakuwa mmoja wao. Ukinga'ng'ania kukaa juu kwa kweli inakuwa haina maana sana. Si mbaya kama ukinitoa kwenye orodha yako ya heroes lakini i remain the same. Pamoja na kuwa si mwanachama sana wa jukwaa hili, lakini maoni ya hapa siyaachi.

  WanJF wengine ntawajulisha kama litatokea la zaidi, lakini sikukufikiria kuendelea nae zaidi yawikiendi. Still single, so am not ruling anything out, and i still have access. Si rahisi sana kumtrust mtu kwa kuonana naye kwa siku moja.

  Mkuu Abdulhalim, You have to remember as well that Man has to do what men got to do. Bila kujali status yako kwenye jamii lakini ukumbuke kuwa una needs za kama za mwananume yoyote, una haki ya kuexpolre life kama mwanaume yoyote. Kama Bill Clinton, Sarkozy, Blair na George bush walivyofanya.
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  ni machine mnato eeh:violin:
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  :rockon:
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Haya mambo yanawezekana na sioni ajabu hapo. Mhusika kwa preamble na maelezo ni yeye. Tatizo ni pale mtu anapokuwa mkweli
   
 17. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ewaaaaaaaaaaah!
   
 18. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo umenena Bongolander,sio siri hayo yapo!kitu unakiona reception imetulia kinoma,isitoshe ananata mtaani ile kwa sana tu!du,ukipata fursa uonje hiyo mbunye yake ndo utakoma, utasema ya kichina!kiukweli kama dada zetu wangekuwaga na alama usoni zinazoonyeha kuwa wana mbunye safi na ovyo!si utani hata hao wale ambao wangekuwa na urembo kama cleopatra, kama mbunye ovyo wala wanaume walio wengi wasingehangaika nao!(sorry ni mawazo yangu binafsi, i hope sijamkwaza mtu)
   
 19. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hivi kuna kibaya duniani...? you creatively search n bring out the beauty...!kila kitu kina uzuri bana!! good experiment though!!
   
 20. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2010
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mwaga contact zake hapa waoaji and I meant it waoaji wasake chombo hichi ili wakiweke ndani,yaani mtu unadiriki kukiri kua mashine umeipenda lakini huna ujasiri wa kuoa mashine hii hii unayoimwagia sifa mashine nzuri,mmmh MEEEEEEN ARE NASTY.
   
Loading...