Kumbe kuna tofauti kati ya Uislam na Sheikh

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,246
Reaction score
7,110
Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu.

Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe.

Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude kapotezwa,Chadema wamenyimwa haki ya kushiriki uchaguzi,hakuna reforms katika sheria za uchaguzi,Tundu Lisu kawekwa ndani Kwa kosa la kutaka kupindua serikali yeye binafsi peke yake bila bunduki wala mundu Mashehe wamepiga kimya,

Ila Ukipiga kelele kupinga ukandamizaji huu mashehe watakupinga wewe.

Katika mawaidha ya Uislam utasikia "Uislam ni dini ya haki",kwa hiyo Kuna tofauti kati ya mashehe na Uislam.
mashehe ni binadam,lkn uislam ni dini.

Mashehe Wanasikiaga njaa lkn Uislam hausikii.
 
Ndio tofauti ni kubwa sana

uislamu na haki ni ngumu sana kuvitofautisha lakini shehe na ubwabwa ni ndugu kabisa
 
Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu.

Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe.

Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude kapotezwa,Chadema wamenyimwa haki ya kushiriki uchaguzi,hakuna reforms katika sheria za uchaguzi,Tundu Lisu kawekwa ndani Kwa kosa la kutaka kupindua serikali yeye binafsi peke yake bila bunduki wala mundu Mashehe wamepiga kimya,

Ila Ukipiga kelele kupinga ukandamizaji huu mashehe watakupinga wewe.

Katika mawaidha ya Uislam utasikia "Uislam ni dini ya haki",kwa hiyo Kuna tofauti kati ya mashehe na Uislam.
mashehe ni binadam,lkn uislam ni dini.

Mashehe Wanasikiaga njaa lkn Uislam hausikii.
Mtu awezi kuamini kwenye uislamu na akawa na akili timamu...
 
Wewe ndio umeshindwa kutofautisha waislam na wanachama wa CCM Hilo halituusu
 
Back
Top Bottom