Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,449
- 11,318
Wewe ulikuwa unaijua??Wonders shall never end🤣🤣
Akuu😅 we umeiona je?Wewe ulikuwa unaijua??
Nasikia tuWewe ulikuwa unaijua??
Nipashe bibiye!
Niko nashangaa ukuaji wa Technology 😜Nipashe bibiye!
Hata mimi macho yametoka kwa mshangao mkuuNiko nashangaa ukuaji wa Technology 😜
Hapo Cha kufanya uwe kama unataka kucopy KITU then utapona option ya "read aloud" itasoma sentence kwa sautiKusoma maandishi si ni kama voice note tu?
Hebu jaribu kutuma sample mkuu
Itasomea sauti ya nani? 😜Hapo Cha kufanya uwe kama unataka kucopy KITU then utapona option ya "read aloud" itasoma sentence kwa sauti
Uwe kama unataka kucopy sentence then utapona "read aloud" mwishoni kabisaaa ya hicho kibara chenye maneno copy, quote na read aloudAkuu😅 we umeiona je?
Sijafanikiwa bado kuiona hiyo optionHapo Cha kufanya uwe kama unataka kucopy KITU then utapona option ya "read aloud" itasoma sentence kwa sauti
Hapo Cha kufanya uwe kama unataka kucopy KITU then utapona option ya "read aloud" itasoma sentence kwa sauti
Ngoja niweke screen shot TenaSijafanikiwa bado kuiona hiyo option
Nimejaribu hapa nimeona inaongea kama bongo zozoItasomea sauti ya nani? 😜
Bora wangeweka isomee sauti ya Jiwe 🤭😅ili kumuenzi.Nimejaribu hapa nimeona inaongea kama bongo zazo