Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,316 Jul 22, 2022 #1 Mwanzo nilikuwa nawadharau sana watu wanao jikomba komba kwa viongozi. Lkn sasa baada ya kusikia kutoka kwa kiongozi wa dini kuwa ili ufanikiwe inabdi ujikombe nimekubali. Wale wote waliokuwa wanasifu na kuabudu ndiyo leo wapo juu juu kabisa wakila matunda ya kusifu wakubwa. Mufano ni mingi mno ila naomba tumsikilize kiongozi wa dini juu ya watu wanao jikomba wanavyofanikiwa. Your browser is not able to display this video.
Mwanzo nilikuwa nawadharau sana watu wanao jikomba komba kwa viongozi. Lkn sasa baada ya kusikia kutoka kwa kiongozi wa dini kuwa ili ufanikiwe inabdi ujikombe nimekubali. Wale wote waliokuwa wanasifu na kuabudu ndiyo leo wapo juu juu kabisa wakila matunda ya kusifu wakubwa. Mufano ni mingi mno ila naomba tumsikilize kiongozi wa dini juu ya watu wanao jikomba wanavyofanikiwa. Your browser is not able to display this video.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,680 Jul 22, 2022 #2 Aiseee
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,776 Reaction score 34,762 Jul 22, 2022 #3 Huwa una mada za kijingajinga. Huna ubongo?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,316 Jul 22, 2022 Thread starter #4 Countrywide said: Huwa una mada za kijingajinga. Huna ubongo? Click to expand... Ningekuwa sina ubongo nisinge weza kumzalisha mama yako nawe ukaingia duniani.
Countrywide said: Huwa una mada za kijingajinga. Huna ubongo? Click to expand... Ningekuwa sina ubongo nisinge weza kumzalisha mama yako nawe ukaingia duniani.
M mzee wa nguna Senior Member Joined Dec 5, 2012 Posts 138 Reaction score 139 Jul 22, 2022 #5 Kuna watu ambao ni waadilifu, wanajiamini na wanajiheshimu kiasi ambacho huwezi kutegemea watajikomba kwako. Ni bora "umuue"
Kuna watu ambao ni waadilifu, wanajiamini na wanajiheshimu kiasi ambacho huwezi kutegemea watajikomba kwako. Ni bora "umuue"
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,084 Reaction score 8,861 Jul 22, 2022 #6 Countrywide said: Huwa una mada za kijingajinga. Huna ubongo? Click to expand... Kila mtu anayo haki ya kutoa mawazo yake na kuheshimiwa
Countrywide said: Huwa una mada za kijingajinga. Huna ubongo? Click to expand... Kila mtu anayo haki ya kutoa mawazo yake na kuheshimiwa
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,776 Reaction score 34,762 Jul 22, 2022 #7 Mmawia said: Ningekuwa sina ubongo nisinge weza kumzalisha mama yako nawe ukaingia duniani. Click to expand... Unazalishwa?
Mmawia said: Ningekuwa sina ubongo nisinge weza kumzalisha mama yako nawe ukaingia duniani. Click to expand... Unazalishwa?
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,765 Reaction score 16,191 Jul 22, 2022 #8 Mwijaku na baba levo wanatusua tusuuuuuu kama bisibisi zilizokarangwa😁
chazachaza JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 2,824 Reaction score 3,846 Jul 22, 2022 #9 Kwanza mm nikigundua unatabia za kujikombakomba ,nakuweka mbali mita elfu 10, watu wa namna ni wasaliti ,muda wowote anaweza kukuharibia !!
Kwanza mm nikigundua unatabia za kujikombakomba ,nakuweka mbali mita elfu 10, watu wa namna ni wasaliti ,muda wowote anaweza kukuharibia !!
co fm JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,569 Reaction score 2,584 Jul 22, 2022 #10 Naona mnataka kufanya hiki kizazi cha kibenten sio