Unapo ona pesa inahitajika kumtuliza mbebi ndipo mtu anapo honga... si unajua kua mapenzi kama ulevi, na mlevi akisha lewa nadhani unafahamu matokeo yake.
Kutoa Pesa au kitu kinacholingana na thamani ya Pesa, ili upate kitu flani ambacho katika hali ya kawaida ni vigumu kukipata kwa muhitaji wa hicho kitu.