Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 695
- 1,803
Pole shostiJamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani , mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Umeolewa au ni usingo maza kwenda mbeleJamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Mungu fundi, hakuna pesa inaenda burePesa ya saloon si alikuwa anatuma?
Haya sasa ...jikaze
Wanasahau kuwa ukilima shamba ukatupia na mbegu, kinachofuata ni mazao kuchanua.Mungu fundi, hakuna pesa inaenda bure
Kuna wengine hawapati shida hata moja kila mtu na bahati yake asikutishe shogaHeri wewe unaweka uhalisia
Tofauti na hivyo ulivyotaja kingine ni nini kinakera ili tujiandae mambo yakiwa mambo
Unaenda lodge kugegedw umepanda prado unaenda clinic mwenyewe na bodabodaPesa ya saloon si alikuwa anatuma?
Haya sasa ...jikaze
Sikia miezi mitatu minne ya mwanzo yaani hakuna rangi utaacha kuona.mimi nilikuwa natamani kutapika dunia yote.yaani chakula unachagua nilikuwa najipikia mwenyewe maana mtu akipika asipopika kama navotaka na yeye namchukia vibaya mno sitaki hata kumuona tena nikija kumuona natapika tuJamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
First trimester nilitamani hata kuhama nchi.nilikuwa najiskia ovyooo ovyooo .Hiyo hali utakua nayo katika miezi mitatu ya mwanzo 'First Trimester' baada ya hapo utakua poa na kuenjoy ujauzito wako,
Mtoto akianza kucheza ni best experience ever, gusa gusa tumbo lako mara kwa mara ili mtoto afeel your love, zungumza na mtoto wako, muimbie nyimbo nzuri za watoto,msomee hadithi, kua happy muda wote epuka stress na hasira, wamatumbi wana msemo wao "happy mother, happy baby"
Zingatia mlo kamili kwani a healthy child anatokana na chakula bora cha mama, lakini pia uzingatie na diet yako pia usile kama fukufuku na kunenepeana hovyo,
Hongera sana Mama mtarajiwa, nakuombea kheir kwako na kwa mtoto mvuke salama,
NB: Hayo utayakuta kwenye second na third trimester ila kwa sasa msoto lazima.
Mama ni mama.kwani ukiwa na mume kwenywe mimba anakusaidia nini??Umeolewa au ni usingo maza kwenda mbele