<br />Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje mtu binafsi anaendesha precision kwa ufanisi mkubwa atc wanashindwa? kwanini shirika kubwa kama bima linakufa wakati lilikuwa na ukiritimba. rushwa jamani magamba mmeua nchi tumechoka
na sasa kuna habari kwamba makampuni yoote makubwa yana kimbilia lake Tanganyika kuchimba mafuta kuna reserve ya hatari huko. wenzetu drc washaingia mikataba sisi tumelala tuuu huyu waziri wa nishati wa magamba amelala usingizi wa pono. mungu atusaidie na huu utajiri tulionao hawa magamba wasitudhulumu.
Piece of craap from him same old story...
Kakutuma nn,au ndo mwenyeweNilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje mtu binafsi anaendesha precision kwa ufanisi mkubwa atc wanashindwa? kwanini shirika kubwa kama bima linakufa wakati lilikuwa na ukiritimba. rushwa jamani magamba mmeua nchi tumechoka
Mkuu humfahamu kibonde wewe, ataponda kila kitu ikifika kwa JK atatetea kwa moyo wake woote! Yeye na jk tuu na ccm ya magamba!
ataponda ccm zoote za mwalimu, Mwinyi na Mkapa ikifika ya magamba anakufa nayo kwa kuitetea!
Anauma na kupuliza!huyo bwana tatizo lake ni kiherehere na kigeugeu, kuna wakati safi then utumbo!