Kumbe kauli mbiu ya mapenzi ni uongo!

Kumbe kauli mbiu ya mapenzi ni uongo!

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Wakuu,

Nimekuwa nasaka rafiki wa kike lakini dah, kila msichana ninayekutana naye nikimweleza yangu ya moyoni kiukweli anakuwa mbishi, haambiliki, hasikii! Mara nina mchumba, mara oh, sitaki mahusiano kwa sasa! Mara kwani wewe unafanya kazi gani? Ukimwambia ukweli ndio huyo kapotea humpati tena! Sasa nikajiuliza tatizo ni nini?

Nikagundua ya kwamba huwa nawaambia ukweli. Sasa nikajiambia, weka pembeni ukweli kwa muda.

Siku moja nikakutana na mdada fulani mrembo halafu mtanashati, nikamsalimia halafu nikaonyesha nina haraka sana, yaani hata sekunde ya kuongea naye sina mpaka yeye mwenyewe alishtuka; halafu nikamwomba namba haraka, halafu nikachomekea "u look so understanding", akatabasamu, bila kujiuliza akanipa namba. Kumbuka sikumbeep, ila mara tu tulipoachana nikampigia, nikageuka fasta ili nione kama anapokea kuhakikisha kama alinipa namba yake kweli.

Alivyopokea nikamwambia ahsante kwa kunipa namba yako nitakupigia baadaye. Over

Baadaye jioni nikampigia, mazungumzo yakawa kama hivi:

mimi: Hi (Ujue madada wengi wanapenda kusikiliza kiingereza hata kama cha kuchapia)

yeye: How are you, are you fine?

mm: I'm well

yeye: Kwani ulikuwa unaenda wapi mbona ulikuwa na haraka hivi? (Nikasema yes, kajiingiza mwenyewe!)

mimi: Nilikuwa naenda ubalozi wa Uingereza kucheki kama visa yangu imetoka (Ah wapi, mie hata sijui ubalozi uko wapi!)

yeye: Are you travelling to UK, for what?

mimi: I'm having a meeting in London next Tuesday. You know, I'm bored with these so many ----ing trips! (Ah wapi, sijawahi kwenda popote, wadada wakati mwingine wanapenda dirty language - unaona, jamani hiki kizazi!)

yeye: Sawa so kuna, nini huko?

mimi: Ye know, this Barclays thing, ts a business meeting anyway (Ukijihusisha na bank si wanajua hela zote za bank ni zako! Shauri yao)

yeye: Kwa hiyo wewe ndio nani Barclays sasa?

mimi: A minute pls? Want to pick a call from Newyork, it is important, sorry!

yeye: Ok

Baada ya muda nikampigia tena

mimi: Hello

yeye: Yap

mimi: Another trip again,

yeye: Wapi?

mimi: Newyork, this is purely shit, I need to rest! I can't be travelling all over the world even if I'm being paid! (NY wapi, hapahapa Dar!)

yeye: Kweli? (Akataka kushtuka!)

mimi: Hizi safari ni za kawaida sana kwangu dear, sema tu wakati mwingine zinaboa sana, yaani mtu hata haupumziki! Hata kama ni hela jamani, this is too much! (Za kawaida! Atajaza mwenyewe, safari ya kwa Ob mchezo!)

yeye: Pole dear, ndio kazi utafanyeje! (Kaanza kuuvaa mkenge sasa!)

mimi: Thank you

yeye: Kwa hiyo ukienda utarudi lini?

mimi: One to two weeks. Thank you for a talk, I will call you when I'm in London. Bye

yeye: Nakutakia safari njema my dear. Bye

mimi: Kwa kweli nitakuwa "extremely" busy kwa sababu ya maandalizi ya mkutano, usishangae nisipokuwa hewani! See you when I'm back

yeye:

Sasa nilimpigia kwa kutumia skype credit, alivyoona namba la ajabu ajabu si akajua nipo London! Kumbe mie napiga zangu kutoka Tandika! Kwisha habari yake!

Story itaendelea

Jamani hii ni ajabu na kweli! How comes "uwongo" works so perfectly kuliko "ukweli"?
 
daah umetrirk vlvyo,, imekaa pwah..kwa swaga hz humkos dem wa kbongo
 
Ha ha haaaa..unadhani wanapenda uongo??!!!
No waaaay,wanapenda vitu vizuri tu,expensive au vinavyoonekana na kuvutia wengi hata kama yeye hana faida nacho saaaaana kwa maisha yake???!!

Mdanganye tena kuw umefukuzwa kazi,umepewa notice kwenye nyumba ya ofisi,wewe hujajenga na kwa kuwa umefukuzwa kwa sababu ya matumizi mabaya ya ofisi una kesi mahakamani kwa hiyo mganga wako kakuambia upeleke ulimi wa mtu ili akufanyie dawa urudie kama awali.

Then you will come to term if they like lies or only sweet impressing stuffs
 
Yaani uko route 11 na akaamini ur pick up lines? Don't b too sure, she could be the one playing you brotha.
 
Mimi nadhani mwisho wa picha ni siku ya wewe kumpeleka maghettoni..maana kwa jinsi walivyo lazima atake kujua unakaa wapi aisee..na siku nyingine ya kumeet nae lazima atake kujua uko na mashine gani.. Kama utaazima ndinga kujaza mafuta hiyo ndo itakua price ya uongo upo hapo mkulu..!!
 
Gheto baadaye sana, namwambia aje kiwanja kikali, story mbili tatu kama robo saa hivi, namwambia naenda juu floor ya tisa tuna meeting mpaka saa nne usiku see u another day. Thank you. Nani ajaze Hummer mafuta wewe, sahau!
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAA! I LOVE THE MEN TAHT LIE! Simply because im the master of lying games!

Mimi huwaga sina imani kabisaaa na wanaume! And im smart enough not to confront them hata baada ya kuwagundua! I INVESTIGATE ON MY OWN TIME AND TERMS! Afterall the world is such a small place

I realy hate it when somebody especially a man that i like takes me for a fool! (Mkuki kwa nguruwe! LOL!) Nothing will satisfy me that to catch him in the middle of his lies! Hata kumuacha tu coz muongo muongo ni kumpendelea! I just have to dig on that pride and honor of his, to prove maybe im not so stupi after all!

Kuna mtu alinipiga changa la macho mchana kweupe yuko City Bank, anapokea hela ndefuuu! Akawa ananiambia nitakutafutia na wewe! Mmmmmmmmmmmmmh! That just did it! Not only did he lie to me and insulted my inteligency but proceeded to imply he is better that me basing on his lies!

Nikaingia investigating! I called everybody i know kuuliza kama anamjua mtu city bank! Hadi auditor mmoja akaniambia anamjua mdada pale. Nikamchimba yule mdada mpaka kujua kama kweli yule mtu yuko City bank yoyote duniani! Akaniambia hakuna! Hazani! Nikamuomba nimtoe dinner!

Siku ya dinner na yule mkaka, nikamuita yule dada atujoin! Kwenye utambulisho nikamwambia huyu flani, by the way i thought mnajuana! Si mnafanya wote pale city bank! Yeye yuko kitengo flani! Hapo nimeweka plastic smile namtizama usoni! Matter of fact i asked her abt you akasema hakujui ndo nikamualika hapa maube unatumia jina lingine kule! Akikuona kwa sura angekujua! Si unajua tena abiria na chunga mzigo wangu!

Alibabaika, kijasho chembamba kilimtoka! Hakuwa na hamu! Nikabadili topic na kupotezea, ka dinner kakaisha! Usiku akanitext I LIED and i guess you it by now, im sorry blah! blah! blah! Nikamwambia i knew that you lied the minute you did it but i just wanted to see how long will you keep the liying!? I justed wanted to show you i aint anything close to STUPID!!!!!!

MJINI HAPA KINA YAHAYA WENGI SANAAAAA!

Wewe ungenikuta mimi ningekula sahani moja na PASSPORT yako kucheki tu kama imegongwa gongwa tu vitus twa nchi mbali mbali! Baaaaaaaaaaassssssssss!!!!!!! (Kimbembe uwe passport huna!)
 
kwa staili hii hata lara 1 naweza kumnasa, au ndio alikuwa yeye nini!
 
Kuna tofauti ya mwanaume mwongo na tapeli we uliotumia ni utapeli.pole utalia sana tafuta pesa kijana muda wote tuko huku mtandaoni pesa utatafuta saa ngapi girl akukubali?
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAA! I LOVE THE MEN TAHT LIE! Simply because im the master of lying games!

Mimi huwaga sina imani kabisaaa na wanaume! And im smart enough not to confront them hata baada ya kuwagundua! I INVESTIGATE ON MY OWN TIME AND TERMS! Afterall the world is such a small place

I realy hate it when somebody especially a man that i like takes me for a fool! (Mkuki kwa nguruwe! LOL!) Nothing will satisfy me that to catch him in the middle of his lies! Hata kumuacha tu coz muongo muongo ni kumpendelea! I just have to dig on that pride and honor of his, to prove maybe im not so stupi after all!

Kuna mtu alinipiga changa la macho mchana kweupe yuko City Bank, anapokea hela ndefuuu! Akawa ananiambia nitakutafutia na wewe! Mmmmmmmmmmmmmh! That just did it! Not only did he lie to me and insulted my inteligency but proceeded to imply he is better that me basing on his lies!

Nikaingia investigating! I called everybody i know kuuliza kama anamjua mtu city bank! Hadi auditor mmoja akaniambia anamjua mdada pale. Nikamchimba yule mdada mpaka kujua kama kweli yule mtu yuko City bank yoyote duniani! Akaniambia hakuna! Hazani! Nikamuomba nimtoe dinner!

Siku ya dinner na yule mkaka, nikamuita yule dada atujoin! Kwenye utambulisho nikamwambia huyu flani, by the way i thought mnajuana! Si mnafanya wote pale city bank! Yeye yuko kitengo flani! Hapo nimeweka plastic smile namtizama usoni! Matter of fact i asked her abt you akasema hakujui ndo nikamualika hapa maube unatumia jina lingine kule! Akikuona kwa sura angekujua! Si unajua tena abiria na chunga mzigo wangu!

Alibabaika, kijasho chembamba kilimtoka! Hakuwa na hamu! Nikabadili topic na kupotezea, ka dinner kakaisha! Usiku akanitext I LIED and i guess you it by now, im sorry blah! blah! blah! Nikamwambia i knew that you lied the minute you did it but i just wanted to see how long will you keep the liying!? I justed wanted to show you i aint anything close to STUPID!!!!!!

MJINI HAPA KINA YAHAYA WENGI SANAAAAA!

Wewe ungenikuta mimi ningekula sahani moja na PASSPORT yako kucheki tu kama imegongwa gongwa tu vitus twa nchi mbali mbali! Baaaaaaaaaaassssssssss!!!!!!! (Kimbembe uwe passport huna!)

Yaani mpaka uje ucheki passport ni muda umeenda. Lakini jamaa alijiloga mwenyewe, anajua kaongopa halafu anajiweka katika mazingira kama hayo.

Rule nzuri ni kwamba mwongo ndio anatakiwa apange mazingira ya kukutania, halafu mianya, mazingira na uwezekano wa "victim" kuja na wambea wengine havitakiwi kuwepo! Halafu mwongo anatakiwa awe "unpredictable" Yaani unaweza kumbadilishia kiwanja fasta kwa kumpa sababu yenye mashiko.
 
Kuna tofauti ya mwanaume muongo na tapeli we uliotomia ni utapeli.pole utalia sana tafuta pesa kijana muda wote tuo huku mtandaoni pesa utatafuta sa ngap girl akukubali

Hahahaaaaaaaa. Mie nilikuwa nafanya karesearch mkuu nione kama haya mambo ni kweli, maana nasikia tu watu wanasema! Take easy mkuu!
 
Mimi nadhani mwisho wa picha ni siku ya wewe kumpeleka maghettoni..maana kwa jinsi walivyo lazima atake kujua unakaa wapi aisee..na siku nyingine ya kumeet nae lazima atake kujua uko na mashine gani.. Kama utaazima ndinga kujaza mafuta hiyo ndo itakua price ya uongo upo hapo mkulu..!!

Hahahaaaaaaaaaa! Umeonaaaaa! Njia ya muongo ni fupi! Umenikumbusha stori ya moja ya msela wangu mmoja Muhay!

Muhaya bana tukiwa chuo ana cousin wake yuko states akamtupia kasimu touch sikumbuki ni mdel gani! Basi tulihama mji! Sasa siku pande za Mcity kwenye shopping akamkuta Demu kisu cha hatari nae ana mashine kama ile ile yake! Daaaaaah! Akaborak kichizi! Akaona hataaa! Aende akamshobokee yule shori!

Kufika pale kwanza mashine kaishika mkononi! Demu kucheki mashine akawa kamsoma shalo tinatina. Basi ndo kuanza kuimbisha una simu kama yangu na nini, na kuchukua namba! (Hio simu ilikuwa ya bei ndefuuuu) Kuchat chat na nini ikakubaliwa Demu atamtreat jamaaa! Basi jamaa akajua fresh tu kawaida! Weeeeeeeeeeeee! Matusi yake alikoma!

Demu kaja na ki BMW kipyaaaa! Jamaa jasho lilimtoka almanusura kuzimia! Akapelekwa movie na nini, wakatoka demu akamtoa jamaa kama viwanja 5 vya maana usiku mzima! Anachop tu money! Hawazi! Jamaa kuja kurudi ikabidi aite jopo kutangaza kuwa ule Moto wa Makaaa ya mawe anajivua gamba na kujiweka pembeni! Akapampiwa asitishike na nyau! He is a disgrace to Haya mankind! Ukoo mukubwa ule! His ancestors would be offended!

Akaamua kuipa 1 more try! Na kutreat yeye! Sasa akaenda kuchukua Benz ya ze uncle! Kuiga kunya kwa tembo! Usiku ukaenda fresh tu, kimbembe saa ya kurudi! Kapigwa pasi ya maana na daladala! Kibenzi chunikaaaaaa! Asubuhi yuko garage kuullizia rangi! Weeeeeeee! Hio rangi ilichimbaje kwenye kiboom! Hana hamu! Na hakuwasiliana tenaaa na yule demu!
 
Yaani uko route 11 na akaamini ur pick up lines? Don't b too sure, she could be the one playing you brotha.

Hata ingekuwa wewe ungeingia mkenge. Kumkamata mtu mbishi kama wewe ni kumuundia "conspiracy".
 
Yaani mpaka uje ucheki passport ni muda umeenda. Lakini jamaa alijiloga mwenyewe, anajua kaongopa halafu anajiweka katika mazingira kama hayo.

Rule nzuri ni kwamba mwongo ndio anatakiwa apange mazingira ya kukutania, halafu mianya, mazingira na uwezekano wa "victim" kuja na wambea wengine havitakiwi kuwepo! Halafu mwongo anatakiwa awe "unpredictable" Yaani unaweza kumbadilishia kiwanja fasta kwa kumpa sababu yenye mashiko.

Aaaaaaaaaaah wapi! Time itayoenda ni ile niliyokupa tu kukuinvestigate!

Sio kirahisi rahisi useme seme vitu tukuamini! Lazima tujirizishe beyond reasonable doubt! Hata ukitudanganya you have to go to extremes to make it look like reality! Sio kizembe zembe tu!
 
Back
Top Bottom