ITV ni mgonjwa mwenye nafuu, tv zingine ziko mahututi sana, japo azam anakuja juu kwa usajili wa watangazaji wazuri, lkn ving'amuzi vyao havijasambaa vya kutoshaNimefuatilia sikupata Jibu ni kwanini watu wanapenda taarifa ya habari ya ITV!
Kinachowacost labda lazima uwe na king'amuz chao tofaut na I T V, kila king'amuz WAo wapoNaona kama azam two nao habari zao za kina sana, kwa miaka ijayo itakuwa kidedea ila hivi sasa ni bado watu wengi hawajaifahamu
Mkuu hizo tv zote ni gonjwa ila itv anajiweza kidogoImegeuka kuwa TV ya taifa. Nilikuwa mwanza kwa siku 10, nilik Ukerewe mambo ni hayohayo. Mawazo yangu nilidhani Mwanza wanaangalia zaidi tv za kwao kumbe sivyo. Big up ITV.
Naona kama azam two nao habari zao za kina sana, kwa miaka ijayo itakuwa kidedea ila hivi sasa ni bado watu wengi hawajaifahamu
Sio TV tu, nimeshangaa sana sehemu kadhaa nilizotembelea hapa Mwanza raia wanasikiliza Radio OneImegeuka kuwa TV ya taifa. Nilikuwa mwanza kwa siku 10, nilikuwa nahama hotel na bar kila siku, kila ikifika saa 2 usiku wateja wote wanaomba wawekewe taarifa ya habari ya ITV sio tv nyingine yoyote ile. Nikahamia Ukerewe mambo ni hayohayo. Mawazo yangu nilidhani Mwanza wanaangalia zaidi tv za kwao kumbe sivyo. Big up ITV.
ITV siyo wanafiki kama TV nyingine..... Habari yoyote inarushwa tuu halafu kuna vichwa mle balaa.
Huko Kolomije tukinunua tv tunasema tumenunua ITV