Kumbe israel mwamba sana.........

Kumbe israel mwamba sana.........

Chumvi yao

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,578
Reaction score
5,544
Niaje niaje.............irani huko Amezika majenerali na wanasayansi zaidi ya 60..........kwenye vita vya siku 12 tu..........hakika huu ni ushindi kwa bibi netanyahu kwenda kwa Israel bila kikomo.........wale wa Iran wa bonyokwa ,kipanda uso,jambiani kaburi moja ,itigi na mwana kelekwe karibuni kwa povu.........netanyahu hataki mchezo na kima maana alikuwa anapiga watu na sehemu muhimu wakati wenzanke wanafurahia kubomoa majumba ya raia..........kwa pigo hili inaonyesha Israel alijipanga barabara maana sio kwa vifo hivyo.........
 
Una jua kuchamba kama dada yangu anaitwa fatu, kwa hivi vichambo vyako nafikiri iran ametepeta kabisa
20250626_232154.jpg
 
Au sio mtu wa Taifa teule.! Nisalimie Yudah huko
 
Unataka kuchambwa?? Aina noma utachambwa kwa rungu la kipepe........liko zipuni limejistiri
I'd ya 2010 ila una jibu kitoto sana 😁 , dadavua kwa undani kuhusu Israel kushinda vita wakati kaombewa vita isitishwe na bwana ake , wakati iran kuishambulia Israel ilikua ni kujilinda tu, acha ngebe za maneno meusi 😆
 
Kwa hili hamna namna...........viongozi wa migambo mnawaita majenerali
 
Iran alicheza na moto matokeo take ndio hayo sasa, anazika zaidi ya makamanda 60.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom