Kumbe Inawezekana!

Kumbe Inawezekana!

Ccm ni ndumilakuwili sana,hapo kuna kitu kinatafutwa asingepanda pikipiki Nchemba.
 
Mimi naona kwa mbali V8 zinakuja hapo no tofauti sababu V8 limejazwa mafuta linafuata hizo bodaboda na hizo boda boda zimejazwa mafuta na serekali sasa nini cha ajabu kama sio kusikitika.
 
download (1).jpg
huyu hapa
 
download (2).jpg
akitoka hapo anakwenda kwenye shangingi lake
 
Mimi naona kwa mbali V8 zinakuja hapo no tofauti sababu V8 limejazwa mafuta linafuata hizo bodaboda na hizo boda boda zimejazwa mafuta na serekali sasa nini cha ajabu kama sio kusikitika.

huruma sana, tumelogwa na aliyetuloda kafa tayari
 
download (3).jpg
utafikiri Kigwa anaelekea Bungeni Dom kumbe kapanda kupiga picha tu
 
siasa ikizidi nchini ni umasikini tu , inakuwa watu wenge wajaihusisha na uzalishaji unapunguwa
 
Back
Top Bottom