Kumbe huyu ndio Lowassa

Kumbe huyu ndio Lowassa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
12049671_149220555426256_8710794422712610697_n.jpg
[/h]



 
U don't even know people from the tribe called Maasai.. Or rather u haven't even heard a little ideas for the neighborly Wasonjo! But I do just a little.. They love to be like that with their live style, it is their customs..

Even when u give 'em a million dollars they will never live as u may wish they live to be like that.. So choose well a topic bra... That 1 it'll never gonna coiled to our brains..

I love Lowassa I love Tanzania

By the way atashinda na atapata kura nyingi kuliko unachojiaminisha..

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Mrs Chini acha kutumika bado kijana mdogo sana wewe. Sometimes jaribu kushirikisha na ubongo wako basi, hata kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
 
U don't even know people from the tribe called Maasai.. Or rather u haven't even heard a little ideas for the neighborly Wasonjo! But I do just a little.. They love to be like that with their live style, it is their customs..

Even when u give 'em a million dollars they will never live as u may wish they live to be like that.. So choose well a topic bra... That 1 it'll never gonna coiled to our brains..

I love Lowassa I love Tanzania

By the way atashinda na atapata kura nyingi kuliko unachojiaminisha..

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

Atashinda.... Ha, ha. Labda atashinda njaa
 
makamanda nikishawaambia kujibizana au kumjibu lucifer a.k.a mr.chin ni kumpa bichwa...
 
U don't even know people from the tribe called Maasai.. Or rather u haven't even heard a little ideas for the neighborly Wasonjo! But I do just a little.. They love to be like that with their live style, it is their customs..

Even when u give 'em a million dollars they will never live as u may wish they live to be like that.. So choose well a topic bra... That 1 it'll never gonna coiled to our brains..

I love Lowassa I love Tanzania

By the way atashinda na atapata kura nyingi kuliko unachojiaminisha..

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

Huna adabu kabisa,nani mzoefu wa shida ?Kama ameshindwa haimaanisha huo ni mfumo wa maisha yetu,Tunapenda maji na afya nzuri kama wengine,usilete mawazo yako ya kitumwa kwa lugha unayoona ina adabu,na kuonyesha msomi,
 
Embu weka na za magufunguliwa na wale raia wote walichukua form za kugombea uraisi.
 
Nimeishi Monduli awamu mbili tofauti....kwanza mwaka 88 mpaka 96 nikiwa kimasomo lakini pia kama mwaka mmoja na kidogo miaka ya 2000mwanzoni

Kwa mtu yetote ambaye ameishi Monduli atakubali kuwa kuna tofauti na hatua za maendeleo ambazo zimepigwa japo changamoto bado zipo zinazokabili maeneo mengi ya nchi yetu hata na nchi zilizoendelea....

Miaka hiyo huduma ya maji ilikuwa ni tatizo Monduli lakini sasa wana mradi mkubwa wa maji....huduma ya hospitali imeboreshwa. Hospitali ya wilaya iliyokuwa miaka ya 90 siyo hii ambayo ipo Monduli.....hata baadhi ya miundombinu

Lakini mwaka huu nimebahatika pia kufika Monduli na nimetembea maeneo kadhaa ikiwa pia ni upande wa barabaa inayoelekea Makuyuni mpaka Karatu.....kweli nyumba ni za tembe lakini juu zimeezekwa kwa bati...

Na hili linachagizwa pia zaidi na matanki ya kuvuna maji ya mvua (Water Harvesting Tanks) ambazo nimeziona kwenye nyumba nyingi za barabara hiyo niliyoitaja hapo juu kama sehemu ya kukabiliana na ratizo la maji

Lakini pia katika maeneo mengi nimeona wamechimba malambo makubwa yanayoweza kuhifadhi maji kwa matumizi ya mifugo (hata binadamu). Mfano niliipita hiyo barabara ya kwenda mpaka Mto wa Mbu kutokea Monduli na pamoja si msimu wa mvua lakini yamejaa maji na mifugo wanakunywa maji....imesaidia hata kudhibiti vifo vya mifugo....

Kwa ufupi ni kuwa, pamoja na ukweli kuwa bado kuna changamoto za kimaendeleo kama ilivyo maeneo mengine ikiwamo Chato bado unaweza kukiri kuna maeneo Monduli wamepiga hatua ukilinganisha na maeneo mengi ya Tanzania

Lakini pia niseme kuna ugonjwa mkubwa unaotukabili watanzania ambao sijui ni hatuelewi au ni makusudi tu au ni kukosa elimu ya uraia.....Hili ni kutokujua TOFAUTI YA MAJUKUMU YA MBUNGE (parliament) na serikali (Executive) na tunadhani mbunge anaweza kuliletea jimbo lake maendeleo single-handedly au kwa sera zake mwenyewe...

Hatujui kuwa mbunge hakusanyi kodi?? wala hajitengenezei Sera zake binafsi za mgawanyo wa matumizi ya kodi na rasilimali alizonazo jimboni mwake???.....

Mbunge kazi yake ni kuisimamia serikali katika utekelezaji wa mipango yake iliyopanga kuendana na vipaumbele na rasilimali zinazopatikana na kodi zinazokusanywa....Serikali ndiyo yenye jukumu kuleta maendeleo....

Hivyo ninapomuona Mtanzania anamnanga Mbunge kwa kutoleta maendeleo wakati huohuo akiipongeza serikali kwa kazi nzuri huwa natamani kumpima akili yake kama iko vizuri na imegawanyika vizuri katika sehemu zote 3

Mbunge ni kusimamia....serikali ni kutekeleza.......Hivyo kusema Lowassa hajafanya lolote Monduli ni sawa na kukubaliana na ukweli ambao tunausema siku zote kuwa serikali yetu inamapungufu makubwa sana kuanzia kwenye ukusanyaji wa mapato, mgawanyo sahihi wa rasilimali pamoja uwekaji wa vipaumbele katika kuwaletea maendeleo wananchi wake

Kwangu mimi iliyo-fail hapo ni Executive (serikali) kabla hata hujamnyooshea Mbunge kidole...
 
Chin ni mwanaume wa ajabu sana, anaenda kuchukua udaku huko anauleta bila hata kujiongeza
 
U don't even know people from the tribe called Maasai.. Or rather u haven't even heard a little ideas for the neighborly Wasonjo! But I do just a little.. They love to be like that with their live style, it is their customs..

Even when u give 'em a million dollars they will never live as u may wish they live to be like that.. So choose well a topic bra... That 1 it'll never gonna coiled to our brains..

I love Lowassa I love Tanzania

By the way atashinda na atapata kura nyingi kuliko unachojiaminisha..

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
Keep on whining, we now know the truth that Lowassa is a liar and waster of time. It is un-nature for human beings to live like animals, I don't care what you say, but it is naturally for mankind to desire better life. If what you say is true, then Lowassa must be the last person to start even think about him.

Hapa ni Kazi tu.
 
Back
Top Bottom