Mbaliche JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 294 Reaction score 62 Sep 29, 2011 #1 utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya!
Moseley Senior Member Joined Jul 10, 2010 Posts 187 Reaction score 98 Sep 29, 2011 #2 Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Jiheshimu!
Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Jiheshimu!
Mbaliche JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 294 Reaction score 62 Sep 29, 2011 Thread starter #3 Moseley said: Jiheshimu! Click to expand... wenzako wame chungulia na kurudi kimyakimya wee ndoo unajifanya kauzu co!
Moseley said: Jiheshimu! Click to expand... wenzako wame chungulia na kurudi kimyakimya wee ndoo unajifanya kauzu co!
Wambandwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2006 Posts 2,249 Reaction score 833 Sep 29, 2011 #4 Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Uko baa nini kama mimi, karibu Breakpoint ya mjini, ukifika nibip bill yoote kwangu, au nitamwambia huyu binti anayenihudumia akuhudumie,
Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Uko baa nini kama mimi, karibu Breakpoint ya mjini, ukifika nibip bill yoote kwangu, au nitamwambia huyu binti anayenihudumia akuhudumie,
pascaldaudi JF-Expert Member Joined Mar 25, 2009 Posts 534 Reaction score 97 Sep 30, 2011 #5 Afadhari mie sijakujibu kitu, nimekaa kimya!!
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Sep 30, 2011 #6 hah hah hah...hujatulia hata kidogo
Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 3,550 Reaction score 5,082 Sep 30, 2011 #7 matumizi mabaya ya JF! na wewe unajiita eti Great thinker shame on you .