Afadhali ya Bashiru kuliko Pole pole maana wakati anateuliwa kuwa DC tayari alishakuwa hoi bin taabani.Sio bashiru tu hata polepole mbona nae ni wa huko huko.
Let's meet at the top, cheers
Mkuu ukisikia kulipigania tumbo ndiyo huko, ukiwa na njaa huwezi kuona aibu.Alafu nayeye hasivyokuwa na hakili eti anapiga makofi mm kuwa na baba kamahuyu bora niishi na baba wa Jambo. Nilikuwemo kwenye mkutano Ila haibu niliona mm.
Tena alikuwa muuza ndizi kwa mujibu wa jiwe.Huyu Daktari nae katolewa 'jalalani' kwa maana hiyo aliyoitoa. Katiba inaruhusu mtu yeyote mwenye sifa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Duuuu aisee KALAMAGANDA KBUGI naye katolewa jalalani,Tena alikuwa muuza ndizi kwa mujibu wa jiwe.
Halafu wakiambiwa ukweli wanaanza kubwata kama paka jike anayeliwa.Duuuu aisee KALAMAGANDA KBUGI naye katolewa jalalani,
Kuna mwingine yule aliye sema kuwa yeye siyo kitu mbele ya jiwe maana alimuokota kwenye kazi ya useremala!, yaani mtu anajitoa utu wake kisa mteuzi wake.Halafu wakiambiwa ukweli wanaanza kubwata kama paka jike anayeliwa.
Kumbe unaweza kusoma lakini usielimike...hawa ndio wasomi wetuHuyu Daktari nae katolewa 'jalalani' kwa maana hiyo aliyoitoa. Katiba inaruhusu mtu yeyote mwenye sifa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wala usishangae ndugu.ndo uwezo wetu wakufikiri nakutenda ulipoishia.Tunahudhuria madarasani kujibu mitihani sio kupata maarifa nakuelimika ili tuiendeleze nchi.Tofauti ya aliyesoma na ambaye hajasoma ni ndogo sana.ndo maana hadi sasa bado tunaangaika na vitu vyaovyo vilivyokuwepo toka mkoloni.Ukiona mtu aliyekaa darasani kwa miaka yote hiyo anakubali kudhalilika majukwaani jua elimu yake haijamsaidia na haijalisaidia taifa vile vile.Huu Ni udhalilishaji wa Chuo Kikuu Cha Dsm ,yaani Wahadhiri Waandamizi wanaopewa Vyeo then wanasema wametolewa jalalani ...na wao Wana Kiri/chekelea !