Kumbe huyu Dkt. Bashiru, naye katolewa 'jalalani'?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Huyu Daktari nae katolewa 'jalalani' kwa maana hiyo aliyoitoa. Katiba inaruhusu mtu yeyote mwenye sifa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Alafu nayeye hasivyokuwa na hakili eti anapiga makofi mm kuwa na baba kamahuyu bora niishi na baba wa Jambo. Nilikuwemo kwenye mkutano Ila haibu niliona mm.
 
Sio bashiru tu hata polepole mbona nae ni wa huko huko.

Let's meet at the top, cheers
Afadhali ya Bashiru kuliko Pole pole maana wakati anateuliwa kuwa DC tayari alishakuwa hoi bin taabani.

Alikuwa anatembelea nusu Lita tu.
 
Alafu nayeye hasivyokuwa na hakili eti anapiga makofi mm kuwa na baba kamahuyu bora niishi na baba wa Jambo. Nilikuwemo kwenye mkutano Ila haibu niliona mm.
Mkuu ukisikia kulipigania tumbo ndiyo huko, ukiwa na njaa huwezi kuona aibu.
 
Jiwe anajipendekeza au kumkumbusha Bashiru asimuandame na issue ya ukomo wa Urais. Hapo katumia tafsida tu akimaanisha kuwa ‘nimekutoa mbali wewe, sasa unakula mema ya nchi, usiongee ongee kuhusu suala langu la mimi kuongeza ukomo wa Urais’.
 
Halafu wakiambiwa ukweli wanaanza kubwata kama paka jike anayeliwa.
Kuna mwingine yule aliye sema kuwa yeye siyo kitu mbele ya jiwe maana alimuokota kwenye kazi ya useremala!, yaani mtu anajitoa utu wake kisa mteuzi wake.
 
Huyu Daktari nae katolewa 'jalalani' kwa maana hiyo aliyoitoa. Katiba inaruhusu mtu yeyote mwenye sifa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kumbe unaweza kusoma lakini usielimike...hawa ndio wasomi wetu
 
Huu Ni udhalilishaji wa Chuo Kikuu Cha Dsm ,yaani Wahadhiri Waandamizi wanaopewa Vyeo then wanasema wametolewa jalalani ...na wao Wana Kiri/chekelea !
 
Huu Ni udhalilishaji wa Chuo Kikuu Cha Dsm ,yaani Wahadhiri Waandamizi wanaopewa Vyeo then wanasema wametolewa jalalani ...na wao Wana Kiri/chekelea !
Wala usishangae ndugu.ndo uwezo wetu wakufikiri nakutenda ulipoishia.Tunahudhuria madarasani kujibu mitihani sio kupata maarifa nakuelimika ili tuiendeleze nchi.Tofauti ya aliyesoma na ambaye hajasoma ni ndogo sana.ndo maana hadi sasa bado tunaangaika na vitu vyaovyo vilivyokuwepo toka mkoloni.Ukiona mtu aliyekaa darasani kwa miaka yote hiyo anakubali kudhalilika majukwaani jua elimu yake haijamsaidia na haijalisaidia taifa vile vile.
 
Back
Top Bottom