Kumbe humu JF aisee kuna watu usiku hawalali

Kumbe humu JF aisee kuna watu usiku hawalali

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
217
Reaction score
475
Dah basi bwana jana usiku nikaamka nikaenda zangu uani kupunguza maji, nilivyorudi kulala usingizi ukachelewa kunijia nikachukua simu nikawa naangalia kitu cha kupotezea muda wakati nauskilizia usingizi kwa mara nyingine ndo nikajikuta nimeangukia jf.

Kitu kilichonishangaza ni idadi ya users waliokuwa online muda ule 531 nikacheki time ilikuwa kama saa nane kasoro usiku.

Nikajiuliza hawa ni walinzi walio lindo shift ya usiku au ni watu walio nje ya nchi ambao masaa yametofautiana na huku kwetu.

Ila anyway hata mimi naipenda jf na kila siku lazima niingie humu ingawa siyo night kali kama kina nanii
 
Dah basi bwana jana usiku nikaamka nikaenda zangu uani kupunguza maji, nilivyorudi kulala usingizi ukachelewa kunijia nikachukua sim nikawa naangalia kitu cha kupotezea mda wakati nauskilizia usingizi kwa mara nyingine ndo nikajikuta nimeangukia jf.

Kitu kilichonishangaza ni idadi ya users waliokuwa online mda ule 531 nikacheki time ilikuwa kama saa nane kasoro usiku.

Nikajiuliza hawa ni walinzi walio lindo shift ya usiku au ni watu walio nje ya nchi ambao masaa yametofautiana na huku kwetu.

Ila anyway hata mimi naipenda jf na kila siku lazima niingie humu ingawa siyo night kali kama kina nanii
Mi mida hiyo nasubiria abiria maeneo ya sinza au mbezi Juliana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom