Mongolia.... uone jinsi watu wanavyotia juhudi kufanya kazi kwa bidii na hawazuiwi na changamoto yoyote.
Ingekuwa mimi si ajabu ningesema ya nini kufanya ufugaji huku kisiwani wa wanyama wengi hivyo nikihofia usafirishaji hata kama nchi nyingine soko lipo. Kwa lugha ya kigeni wanaita long term investors yaani wanawekeza mtaji mkubwa leo ambao utajilipa ndani ya miaka kadhaa. Mfano hapo kununua au kukodi ndege hadi kwa ajili ya kusafirishia kondoo si mchezo na ukute bei anayouzia wala si ghali ila itamlipa ndani ya kipindi alichojiwekea.
Kwa haraka haraka mahesabu ya hivi mwingine hakuelewi. Kama ulipitwa ma somo la darasani la finance na somo la uwekezaji la asilia basi si rahisi kuelewa haya.
Kasie.