Kumbe hili la kutaka kuzima mitandao ya kijamii tutakuwa tunaiga au ni utashi wetu tu??

G 4real

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
449
250
Serikali ya Ethiopia imeshutumiwa
kwa kufunga tovuti ili kudhibiti
mienendo ya matumizi ya mitandao ya kijamii.
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International linasema
limepata ushahidi kuwa mitandao
maarufu ya kijamii na progamu
tumishi kama Facebook au WhatsApp ilifungwa kwa wiki kadhaa wakati wa maandamano ya kupinga serikali.

Mamlaka nchini Ethiopia zinasema wanataka kuwazuia mabloga wasichochee ghasia na fujo.
Intaneti sasa imejerea lakini baadhi ya huduma bado haziwezekani kwani
kasi ni ndogo sana..

My take..
[HASHTAG]#Freemaxencelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Justiceforlema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Bringbackourben[/HASHTAG]
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom