Luther760
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 316
- 240
Nimeshangaa sana kuona bei za magari huko kwa mabeberu ni very cheap, kwa mfano gari kama Subaru, Kluger, Jeep na zingine bei poa sana mpaka zinafika bongo.
Shida ipo kwenye tax evaluation. Gari ya million tatu kodi million saba kweli jamani! Mnataka tufe bila kutimiza dreams za kuwa usafiri wa maana.
Acheni hizo leo mmenikera sana. Huyu Rais wa wanyonge kwanini hajaliangalia hili.
Hivi tunaishi kama tupo kuzimu itawezekanaje kodi izidi hela uliyonunua?
Hii sio sawa kabisa.