secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 24,490
- 52,508
Mkuu kulikoni tena?
MSIKILIZE HANSCANA TUFor a lifetime tumeambiwa kuwa pesa inasakwa,
utasikia wanaume, "tafuta hela achana na wanawake" like pesa ni kama dhahabu inakwenda kuchimbwa.
Guys, it's a sad truth Ukisema tutafute pesa, utaitafuta maisha yako yote na hautaipata..
Mimi mwenyewe nini elewa hiyo concept hivi karibuni. Na ni nataka kuanza kuiapply vyema, so wadau wenye maana nzuri ya huo msemo na analytical language toeni ufafanuzi..
Binafsi nilimsikiliza hanscana akiongea na kusema mfano...
Anaye kwenda mgodini kuchimbwa dhahabu, anakuwa na probability ya kupata au kukosa... Ila yule muuza chemicali au acid za kusaidia kwenye uchimbaji kwake lazima atauza kila siku. Maana wachimbaji watakitumia regardless. Inamake sense ila ni kama haiwezi kueleweka kirahisi...
Naomba wenye wanajua undani wa hii concept waje watoe ujuzi waje watoe miongozo.
Angeanza kuutega hela kabla ya kuwa director mkubwa!! Mwenzio ana mtaji mkubwa kuliko chochote ----- WATU yaani issue za personal brandNimemtolea mfano ila uko applicable kabisq
Bado lugha ngumu.Pesa inatengwa. Anzaa kwa kuandaa mifumo, weka mikakati dhabiti baada ya muda utaanza pesa inaingia yenyew smothly
Nimekutag tu mkuu ili nawe uweke maoni yako. Sorry kama nimekukwaza.Mkuu kulikoni tena?
mnaanza kutuchanganya saaaFor a lifetime tumeambiwa kuwa pesa inasakwa,
utasikia wanaume, "tafuta hela achana na wanawake" like pesa ni kama dhahabu inakwenda kuchimbwa.
Guys, it's a sad truth Ukisema tutafute pesa, utaitafuta maisha yako yote na hautaipata..
Mimi mwenyewe nini elewa hiyo concept hivi karibuni. Na ni nataka kuanza kuiapply vyema, so wadau wenye maana nzuri ya huo msemo na analytical language toeni ufafanuzi..
Binafsi nilimsikiliza hanscana akiongea na kusema mfano...
Anaye kwenda mgodini kuchimbwa dhahabu, anakuwa na probability ya kupata au kukosa... Ila yule muuza chemicali au acid za kusaidia kwenye uchimbaji kwake lazima atauza kila siku. Maana wachimbaji watakitumia regardless. Inamake sense ila ni kama haiwezi kueleweka kirahisi...
Naomba wenye wanajua undani wa hii concept waje watoe ujuzi waje watoe miongozo.
Hukunikwaza chochote, ila nimeshangaa kujikuta nina ma'somo zangu Jf ambao nilikuwa siwajui.Nimekutag tu mkuu ili nawe uweke maoni yako. Sorry kama nimekukwaza.
JF ni kichaka mkuu.Hukunikwaza chochote, ila nimeshangaa kujikuta nina ma'somo zangu Jf ambao nilikuwa siwajui.
Na nilivyowaserch nikashangaa kuona ni wakongwe wa miaka nenda rudi!
Yaani tunaishi nao nyumba moja miaka yote bila kufahamiana, ni ajabu sana kwa kweli.
huku zinanyongwa tu.Sina cha kusema kwa sababu sina pesa za kuweza kusema kitu , ila tule bia tu.