Kumbe Hayati Benjamin William Mkapa alikuwa na Phd! Mbona sijawahi sikia akiitwa Dkt. Benjamin William Mkapa?!

Ushawahi kusikia Engineer Angel Merkel?
Sijawahi kusikia hiyo Ila huku bongo ni sifa hata ka mtu Ni mjinga hajajenga hata kibanda analilia hyo title, Kuna ma prof wamefanya makubwa kwao na project za kukumbukwa hukuti ana jimwambafai na title Ila huku bongo mtu Hana hata machapisho 20 analilia kuitwa prof au Dr.
 
Looh kakaee za asubuhi...

Hao uliowataja wote hawakuwahi kuwa madaktari wa kusoma....

It's only His Excellency President John Magufuli.
hata huyo excellence ni kiazi tosha katika taaluma ndiyo emotional intelligence ni 00 alimuua Ben saa 8 alipohoji alipohonga kupata PhD ya ubwete.
 
Huku kwetu utasikia
CPA Juma
Engineer Juma
Librarian Juma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom