Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,053
- 4,595
Hata marehemu hakua na PHD ni zilezile za bwerere, waliomuita Dr ni wale walimpatia hiyo degree ya bwerere. Mwenye PHD Tanzania rais moja tu Jiwe Mwanakilasa John Pombe Magufuli si Mwalimu ama Mwinyi ama Kikwete, daktari wa falsafa ni moja tuKama kichwa cha habar hapo juu.
Nimeshangaa sana kuona sehemu imeandikwa Dkt. Benjamin William Mkapa. Kweli kabisa kwa nia ya dhati ni mfuatiliaji wa wastani wa habari lakini sijawahi sikia au ona.
Najua maraisi wetu kuna zile doctorates za bwerere huwa wanapewa km heshima lakini huyu mzee baasi km ni hivyo hajaifanyia 'hypes' aka promotion hii niniliu yake.
Anyhow lipo la kujifunza kwa hapa pia tunamtakia makazi mema huko aendako.