Kumbe hata Waziri Ethiopia kuna Udictator Serikalini

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,130
2,102
Kupitia taarifa ya habari ya Channel ten ya saa moja imetolewa taarifa kuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia amepinga wachunguzi wa kimataifa kuingia nchini mwake kwaajiri ya kuchunguza vifo vya watu zaidi ya 100.

Kutokana na taarifa hiyo kuna picha naipata. Hapa kuna ka alama ka kuuliza dhidi ya Rwanda + Ethiopia.
 
Tulianza na Kagame - Rwanda, sasahivi tumeongeza Ethiopia. Kweli tunajitahidi kuwa na models wazuri.

Napita tu maana naona ka Noah Keusi nyuma yangu.
 
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama ukame,vurugu,majanga ya
mafuriko makubwa na umwajikaji damu kwa wingi, basi martine luther alipomaliza kutoa kauli hii watu wenye vipara walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967. Sasa turudi kwenye mifano ya nchi zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais wenye
vipara
1. Omar al Bashir wa Sudan nadhani nyinyi
wenyewe ni mashahidi
2. Yoweri Museveni nadhani mnaweza
kujiridhisha hali ilivyo kwa Uganda waasi
hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi.
3. Mwai Kibaki nadhani mtukumbuka jinsi Kenya
ilivyopitia wakati wa umwagaji damu mkubwa na
njaa kali kabisa kiasi cha hata mifugo kukosa
chakula .
4. Jacob Zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua
kilichowapata ndugu zetu kule, pia imekuwa nchi
ya pili duniani kwa uhalifu baada ya Afghanstan .
5. Bejamin Mkapa nadhani watanzania wengi
hawatasahau mvua za el ninyo na mauaji ya
Zanzibar pia mauaji ya mwembe chai ni kipindi
ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli huku
njaa ikiongezeka na hata takwimu za magonjwa
zilijuwa juu kabisa, ajalu ya treni, meli ya MV Bukoba, nakadhalika. Watanzania ikifika october 25 nyie ndio wakuamua mnataka kulipeleka taifa kwenye taabu au raha.

Nimeitoa humu humu
 
Back
Top Bottom