Kumbe hata ushuzi unatumika

Kumbe hata ushuzi unatumika

HOMOSAPIEN

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
745
Reaction score
273
[h=5]Jamaa kashuka kwenye gari prrrrrrr! Poorrh!.Watu wote wakamwangalia, kwa utaratibu jamaa katoa simu na kuanza kuitika hello? Watu wote wakaangua kicheko, ha ha kumbe ringtone tu? Aliyekua kando yake akatabasamu nakumuuliza 'ringtone yako ina harufu jamani?[/h]
 
Jamaa kaamua kutuchekesha tu mimi nilimshuhudia jamaa anatumia harufu ya ushuzi kama body sprey yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom