Kumbe hata Ulaya marefa nao ni magumashi

Manchester United ndiyo klabu bora kabisa duniani. Ni lazima wachukue kombe la ligi kuu na la UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

hata ligi haiwezi chukua na kuhusu uefa mkuu kule huwa inabebwa barca peke yake subirini safari yenu mtoano..
 
position ya referee na kasi ya ule mpira ni vigumu sana kwa refaree na msaidizi kuona...kumbuka wew umeangalia reply ndo umeona ni offside but refaree yupo kwenye tension na game..

Hapo kwenye bold ndiyo tatizo lake lilipo! Yeye kama professional hajui kujiposition? Hiyo tension ya mpira yeye ndiyo aliiongeza kwa kutoa kadi nyekundu za kijinga kuwafavour mashetani!
 
Hapo kwenye bold ndiyo tatizo lake lilipo! Yeye kama professional hajui kujiposition? Hiyo tension ya mpira yeye ndiyo aliiongeza kwa kutoa kadi nyekundu za kijinga kuwafavour mashetani!

mkuu sio rahisi kama tunavyodhani! kumbuka chicha alikuwa katikati ya wachezaji watatu wa chelsea plus kipa...sitetei makosa but ile ilikuwa move kali sana....
 
nidhamu kwanza kwa wachenzaji ndipo kadi haziwezi kutolewa vinginevyo ni kulambishwa kadi hata timu nzima
 
Jamani ukiwa na kili ya kawaida utabaini kuwa kweli man wanabebwa si tu England bali duniani kote jiulize kwa nini
1. Inabebwa Uefa
2. Inabebwa England
3. Inabebwa Club bingwa ya dunia
4. Inabebwa kuwa club tajiri zaidi duniani
Sasa sijui tuwasaidieje vile.....basi hamieni AIRTEL jamani
 
Baada ya kupata ushauri mbalimbali kutoka kwa wana JF hatimaye tumeambatana na mama kwenda kwenye mpira leo.Tumeanza na gemu la Liverpool na Everton kwa kuwa sehemu nayoangalizia ni full makelele kipindi cha kwanza kilipoisha tu akaamua kuondoka zake akasema mpira ukiisha nirudi nyumbani.Lakini wapi sikurudi wala nini imebidi niunganishe na wa Chelsea na Man United. Kusema ukweli huyu refari wa gemu la Man na Chelsea kaharibu mpira sana haiwezekani kuwapa wachezaji wawili kadi nyekundu.Kiuwazi Man wamebebwa na kila siku wao ni kubebwa tuuuuuuuu na kwa mwendo huu Man U hawafiki mbali kwenye Champions league maana kule hakuna mambo ya FA na marefari wa England.Mi nilidhani tu Man huwa wanabebwa na Howard Web kumbe ni makakati wa FA nzima

kwanza napenda nikubaliane na wewe kwenye suala la refa kukosea sababu maamuzi mengine yanategemea discretion ya refa husika..mfano kuna wakati david luiz uliunawa mpira,ukiangalia picha za marudio zinaonyesha waz kabisa aliunawa lakin refa hakutoa penati..katika mazingira kama yale refa angetoa penat ilikuwa sawa,na kutokutoa penat vilevile alikuwa sawa kumbuka refa ni binadamu na binadam wengi tuna learn from our mistake.Suala la kusema Man u kwenye champions haifiki mbali sababu FA Wanaibeba,hapo busara ilikuwa 0 na jazba ilikuwa 100,umesahau mara ngapi Man U Wamechukua taji ya Uefa Champs?au na kule wanachezesha FA?UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI UMEUONYESHA ULIPOSEMA HAIWEZEKANI KUTOA KADI 2 NYEKUNDU KWA WACHEZAJI WAWILI..HAPA NDO NAKUONEA HURUMA NTAKUTUMIA NAMBA YA SEP BLATTER UONGEE NAYE JUU YA KUTENGENEZA SHERIA MPYA KWAMBA REFA HARUHUSIWI KUTOA KADI NYEKUNDU ZAID YA MOJA KWA TIMU MOJA.
 
mkuu sio rahisi kama tunavyodhani! kumbuka chicha alikuwa katikati ya wachezaji watatu wa chelsea plus kipa...sitetei makosa but ile ilikuwa move kali sana....
muvi kali wap wakati alishazidi kabla ya kuwahi ule mpira
 
Ni kweli Evans alimgusa kidogo Torres kiasi cha kuweza kuendelea kucheza bila kwenda nusu mita bila kujiangusha na hiyo ndio Clattenburg alivyoona. Alichokifanya Torres ni kwenda hatua moja na kujiangusha wakti aliguswa tu na Evans.

Hata hivyo Torres nae yumo kwenye kundi la wachezaji wanaopenda kujiangusha pamoja na Ashley Young na Luis Suarez, na waamuzi wameona hilo.

Mimi simtetei mtu isipokuwa natetea uamuzi wa mwamuzi ambao umelenga kudhibiti "diving simulations".
hakuiona ya young
 
Siku hizi kwa Chelsea Torres hana msaada wowote kule mbele,sometimes ni bora wacheze pungufu kuliko awepo.Ferguson alikuwa mjanja sana hakumchezesha Scholes ambae naamini angekula red pia akamtoa Rooney mapema baada ya kuona kapata kadi ya njano
na alifanya kosa la kusukuma ambalo alistahili kadi ya njano kuona hivyo akawahi kumtoa nje
 
Amenikumbusha yule refa aliyechezesha mechi dhidi ya Simba na JKT Oljoro ambao Oljoro walimaliza wakiwa 8 ndani.
 
mkuu sio rahisi kama tunavyodhani! kumbuka chicha alikuwa katikati ya wachezaji watatu wa chelsea plus kipa...sitetei makosa but ile ilikuwa move kali sana....

Acha kutetea uhuni wewe,ilikuwa ngumu kuona kwako wewe mtazamaji lakini hiyo siyo excuse kwa mtu kama refa amabye analipwa kwa kazi hiyo!Yule mbwiga ni fa.la tu usitetee upuuzi wake!
 
Yaani watu mnaangalia English Premier League na akili za TFF..........Hivi kweli kama ni kubebwa huyo Abramovic na hela zoote atashindwaje kuwashikisha FA waibebe Chelsea? Au ndio yaleyale ya YANGA ati tunasajili kwa gharama tusihonge marefa?

article-2224298-15BC9336000005DC-309_634x1850.jpg
 
Acha kutetea uhuni wewe,ilikuwa ngumu kuona kwako wewe mtazamaji lakini hiyo siyo excuse kwa mtu kama refa amabye analipwa kwa kazi hiyo!Yule mbwiga ni fa.la tu usitetee upuuzi wake!

haahaha ahaha...najua inawauma sana...groly,groly Man U:clap2:
 
Yaani watu mnaangalia English Premier League na akili za TFF..........Hivi kweli kama ni kubebwa huyo Abramovic na hela zoote atashindwaje kuwashikisha FA waibebe Chelsea? Au ndio yaleyale ya YANGA ati tunasajili kwa gharama tusihonge marefa?
Tatizo za wabongo midomo sana....hata kanuni hawajui mkuu...watalia sana mwaka huu...
 
Referee Mark Clattenburg has been accused of aiming a racist insult at Chelsea midfielder John Obi Mikel during their 3-2 home defeat by Man Utd. One of Chelsea's Spanish stars also claims that Clattenburg abused him. DAILY MAIL
Furious Chelsea have sensationally accused referee Mark Clattenburg of verbally abusing their players during yesterday's defeat to Man Utd. THE SUN
Former Premier League referee Jeff Winter responded to the claims on BBC Radio 5 live, he said: "I am amazed with this accusation. If an official has made racial insults or language towards a player then he is for the high jump. It won't be a six or eight-game ban, it will probably be the end of his career if indeed that is the case."
GE

muda si mrefu huyu 37 yrs tutamsahau katika dunia ya mpira.tatizo la kuweka ushabiki katika kazi
 
Mpira wa miguu kama biashara nyingine yoyote ile inayoendeshwa duniani ina-involve a lot of issues/lobbying tactics etc zinazofanywa na wafanya biashara husika ili waweze ku-maximize profit na biashara zao zipate ustawi mkubwa...

big up to manchester united football club as a business entity na pia manager wetu sir alex ferguson kwa kuendesha timu ki-biashara....mpira pesa na nyie wapinzani wetu fanyeni biashara kama sie.

poleni chelsink kwa kushindwa kuuza jana mkiwa sokoni kwenu.
 
Referee Mark Clattenburg has been accused of aiming a racist insult at Chelsea midfielder John Obi Mikel during their 3-2 home defeat by Man Utd. One of Chelsea's Spanish stars also claims that Clattenburg abused him. DAILY MAIL
Furious Chelsea have sensationally accused referee Mark Clattenburg of verbally abusing their players during yesterday's defeat to Man Utd. THE SUN
Former Premier League referee Jeff Winter responded to the claims on BBC Radio 5 live, he said: "I am amazed with this accusation. If an official has made racial insults or language towards a player then he is for the high jump. It won't be a six or eight-game ban, it will probably be the end of his career if indeed that is the case."
GE

muda si mrefu huyu 37 yrs tutamsahau katika dunia ya mpira.tatizo la kuweka ushabiki katika kazi
Hii nayo imefanywa kisiasa,sasa kama kutumia lugha ya kibaguzi imewekezwa mkazo sana kwa Obi,mbona Mata imetupiwa mbali,inafanywa hivyo kama kuua skendo ya John Terry hakuna ki2 hapo,waingereza siasa nyingi wameweka mbele kisa Obi mweusi imefanywa big ishu,Mata ime2pwa,saa nyingine inanifanya hata nisiamini kama alitoa lugha ya kibaguzi huyo refa,hamna ki2 wanataka kumsimamia Terry tu kama 7bu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom