Kumbe hata Ulaya marefa nao ni magumashi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe hata Ulaya marefa nao ni magumashi

Discussion in 'Sports' started by Niwemugizi, Oct 28, 2012.

 1. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Baada ya kupata ushauri mbalimbali kutoka kwa wana JF hatimaye tumeambatana na mama kwenda kwenye mpira leo.Tumeanza na gemu la Liverpool na Everton kwa kuwa sehemu nayoangalizia ni full makelele kipindi cha kwanza kilipoisha tu akaamua kuondoka zake akasema mpira ukiisha nirudi nyumbani.Lakini wapi sikurudi wala nini imebidi niunganishe na wa Chelsea na Man United. Kusema ukweli huyu refari wa gemu la Man na Chelsea kaharibu mpira sana haiwezekani kuwapa wachezaji wawili kadi nyekundu.Kiuwazi Man wamebebwa na kila siku wao ni kubebwa tuuuuuuuu na kwa mwendo huu Man U hawafiki mbali kwenye Champions league maana kule hakuna mambo ya FA na marefari wa England.Mi nilidhani tu Man huwa wanabebwa na Howard Web kumbe ni makakati wa FA nzima
   
 2. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Day dreaming..
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Man U wanabebwa sana tuu, wazi wazi inaonekana
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wajiulize mashabiki wa Man U, iweje wawe mabingwa mara kadhaa zaidi ya Barcelona walivyo mabingwa wa Spain lakini wasiwe mabingwa Europe zaidi ya ubingwa wa Europe?
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,524
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  Tanzania tuna marefa bora zaidi kuliko takataka iliyochezesha mechi ya Chelsea.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  Hamna siku niliyochefuka kama leo..
   
 7. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Sikatai ni kweli mpira unaendana pia na bahati na ufindi, lakini kwa Manchester mpira wao unaendana na rafari atakaechezesha mechi yao.Correct me if I am wrong but that ie my story and I will stick on it.Manchester manabebwa sana lakini muda ni mwalimu mzuri ipo siku timu zingine zitalivalia njuga suala hili maana mmezidi sana
   
 8. S

  SpaceBrigade Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfa maji haachi kutapatapa
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,524
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  mkuu mwisho wa Man U ni kustaafu kwa huyu babu. Hawana lolo washenzi hawa.
   
 10. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mark Clattenburg kanikera sana leo! pamoja na kwamba sikushabikia timu yoyote leo ila kaharibu game pambafu yule! Chelsea ilibidi waondoke na point 3 leo! unlucky sons!!
   
 11. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nami ingawa timu yangu ya Liver inapumlia gesi kusema ukweli Man U wamebebwa na refa kaharibu kabisa radha ya gemu.Ilitakiwa Man wapigwe kipigo cha mwizi
   
 12. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hivi Man u ni kitu gani hiki! Wanabebwa lika siku! Mechi ya leo was a disgrace haiwezekani waamzi wote na kamisa wao washindwe kuona makosa ya wazi kiasi hicho
   
 13. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  anatia kinyaa sana
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uyu refa ingekuwa ndo game inapigwa pale uwanja wa Tandika mabatini asingetoka hai na wala game lisingeisha salama
   
 15. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa ndipo huwa nawashangaa mashabiki. Wenzenu (hao marefa na wachezaji) mpira ni profession yao, wamesomea na wakafuzu. Leo hii, wewe unayejifanya unajua mpira, mara refarii kakosea, mara makosa ya wazi yaliachwa, hukuwahi kucheza hata mpira wa soksi kwenye uwanja wa vumbi! Bado soka letu kama Taifa linapumulia mashine lakini wanazi wa mpira ukiwasikiliza utadhani walishawahi kuchezea Spain! Tofautisheni ushabiki na utaalamu, maneno matupu na vitendo. Wewe unayelalamika tukikupa timu ya Simba mwakani uifundishe itashika hata nafasi ya 3 kweli? Acheni kuota ndoto za Abunuasi!
   
 16. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mashabik wao wanaona aibu..! Wameshnda lakin siwaon huku mtaan..! Kaz Kwao F.A kuokoa soka la England hasa mech za Man U.
   
 17. M

  Mundu JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Man U, wamebebwa na mbeleko ya chuma...

  Rafu wacheze wao, kadi apewe Torres... Ingekuwa Bongo yule refa wangemroga, sitanii. Cheza na akina Akilimali na Bamchawi (RIP) nini?
   
 18. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  BARCELONA ANABEBWA LAKINI ANA SWAGGA ZA KUKUTIA PRESHA MPINZANI HADI MOYONI UNAKUBALI MPIRA WANAUJUA

  LAKINI MAN UTD WANABEBWA HATA KAMA HAWANA SWAGGA ZA KUSHAMBULIA KAMA BARCA as MAN UTD BILA MAREFA HAKUNA KITU..

  Inshort MAN UTD na BARCA WANABEBWA SANA
   
 19. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Tatizo la wabongo ni vilaza....,mpira una sheria na kanuni za kufuata,unataka uvunje kanuni uachwe, pili marefa ni watu kama watu wengine tu kuna makosa mengine ya kibinadamu ....viva Man U viva refaree kwa kufuata za soka..
   
 20. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ....kama timu ina nidhamu mbovu isipewe adhabu?
   
Loading...