Kumbe hata kwetu haya yapo?

Wachapeni bakora waache uchafu huo. Wakifanya hivyo wanaume watapata wapi wanawake ?
 
Huku kuiga kutawaponza wengi. Mimi nilishasema kuna desturi moja imeingia bongo kitchen party kitchen party
 
Hapo tayari wameshaanza ku-share pumzi, just take a close look at their noses.
Then ngoja mmoja ajifanye analalamika mwenzake kamega pande kubwa ili wapate tiket ya kugusanisha ndimi kabisa, then wana . . . . .
 
labda wanalishana keki.. au walikosa visu na umma, au walikuwa wanafurahisha genge tu.. au kweli..

Mzee angalia vizuri juu ya meza, kuna uma na kisu naviona, ni bora wangefurahisha genge kwa staili nyingine au zingetumia jinsia tofauti, ni picha mbaya sana kwa jamii, hasa wakiona watoto wadogo wa kike
 
Huyu ni dada yake na Richard mshindi wa big brother, hapo ilikuwa ni siku ya harusi yake, na huyo anemlisha (wanaelishana) keki ni binti yake wa kwanza. Ukiangalia vizuri hapo pembeni utaona kuna mtu kavaa suti (ndio mume), na hapo ni Marekani.
 
Huyo wa kushoto; mwenye manyonyo nje na piko mikononi ndie Bibie!
 
wanapractice siku ya harusi watalishana je keki na bwanaharusi!!! kwi kwi kwiiii!
 
kwa wanawake ni kawaida kufanya hivyo .pia huoga pamoja ,kuvaa pamoja,kunya pamoja ,na kukojoa pamoa.kwa sisi wanaume ni mwiko
 
Back
Top Bottom