Kumbe hata ccm hamtaki wasaliti!!

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,863
5,694
Tulizoea kusikia ndani ya vyama vya upinzani vikilia usaliti unaofanywa na baadhi ya viongozi wao ili visipate mafanikio ktk siasa za hapa bongo.

Lakini Jana tumeona tukio jipya ktk siasa za bongo wakati huu chama tawala kinasema kinapambana na wasaliti na kuwafukuza uanachama.

Jambo lililonistua Mimi ni moja tuu kuwa tangu lini ccm imeanza kuwachukia wasaliti? Inachukia wasaliti Wa chama Chao tuu? Nani anawatengeneza wasaliti na kuwapa ugali na ulinzi hapa nchini?
 
Lakini usaliti wa ccm umetokea baada ya kuja lowasa pamoja na wazee wenzake
 
Back
Top Bottom