Area 56
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,546
- 4,040
Nimeona akizikwaa kiislam.
Nikasema kumbe kachero wetu alikuwa sheikh. Jina lilinichanganya sana.
Naanza kuamini wazee wetu zamani walibadili majina ili wapate fursa ya kwenda shule, wengine wakanogewa na kubadili dini kabisa huko seminari kama ilivyokuwa kwa kachero mbobezi na mwanadiplomasi mahiri.
RIP Hassy Kitine