Kumbe Fid Q ana watoto watatu wa mama tofauti??

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,467
Leo na ni muda huu yupo Clouds Fm kwenye XXL anafanya mahojiano,nimeshangaa kumsikia jamaa anasema "Ujue mimi nina watoto watatu wa mama tofauti".

Kumbe wenye watoto wengi na kila mtoto na mama yake tupo wengi aisee,huo ndio ulijali wenyewe.wasanii kuna ney wa mitego,dully saiks na Fid Q, safi sana Fid Q
 
DOGOO...SIKUNYINGI TUU KIPIMO CHA URIJALI KIMEBADILISHWA....SIO TENA KIPINDI CHA BABU ZETU KARNE KIBAO KABLA YA KUZALIWA YESU...URIJALI ULIPOKUWA NI KUZAA WATOTO 200 WANAOISHIA KUCHUNGA NGOMBE NA KUTEMBEA MAKALIO NJE NGUO HAWAZIJUI...

URIJALI WA SASAHIVI NI KUWEZA KULETA UGALI NYUMBANI WATOTO WASOME SHULE NZURI NA KUWAACHIA UHAKIKA WA AJIRA TOKA KWENYE VITEGA UCHUMI VYA BABA NA MAMA ZAO.

MIFANO YA MARIJALI WA KARNE HII TUNAYOISHI NI
1- BILL GATES
2- BILL CLINTON
3- MARK ZUCKEBER
4- REGINALD MENGI
5- S.S. BAKHRESA
6- MO-DEWJI

ONGEZA NA WENGINE UNAOWAJUA...KISHA LINGANISHA NA HAO MASTAA WAKO WA KARNE 2 ZILIZOPITA ENZI ZA ZAMA ZA MAWE ZA KATI.
 
Ukisikia paa ujue,,,,,
 
Hivi ni Ulijali kuwa na watoto hovyo hovyo kila mmoja na mama yake?
Ni upunguani uliopitiliza, ni kama mbwa alafu mtu anaona ni ukamilifu wa kuwa mwanaume. Ngoja mama zao waanze kudai pesa za matumizi ndo hapo huwa wanakimbia, maana utatoa hela ambayo mzazi mwenzako itabidi aipige panga kwa kumgawia na mtoto wake mwingine ili wale, sasa piga picha wazazi wenzako watatu! Wanao wataishi salama kweli??
Kweli ni UPOYOYO kujivunia ujinga.
 
Hivi ni Ulijali kuwa na watoto hovyo hovyo kila mmoja na mama yake?
Mkuu, tatizo pia ni hawa watoto/wadogo zetu wa kike. Wanazitamani ndoa hadi wanasahau utu wao; Yaani tena wakisikia jamaa kazaa na mwanamke mwingine (haswa hawa so called celebrities), wanapambana kufa na kupona na wao wabebe mimba wakifikiri they are better than hao waliobebeshwa kabla. Sasa unajiuliza na huyu nae kila anapopita anapiga kavu, ana mkataba na huo UKIMWI au?? :confused:
 
DOGOO...SIKUNYINGI TUU KIPIMO CHA URIJALI KIMEBADILISHWA....SIO TENA KIPINDI CHA BABU ZETU KARNE KIBAO KABLA YA KUZALIWA YESU...URIJALI ULIPOKUWA NI KUZAA WATOTO 200 WANAOISHIA KUCHUNGA NGOMBE NA KUTEMBEA MAKALIO NJE NGUO HAWAZIJUI...

URIJALI WA SASAHIVI NI KUWEZA KULETA UGALI NYUMBANI WATOTO WASOME SHULE NZURI NA KUWAACHIA UHAKIKA WA AJIRA TOKA KWENYE VITEGA UCHUMI VYA BABA NA MAMA ZAO.

MIFANO YA MARIJALI WA KARNE HII TUNAYOISHI NI
1- BILL GATES
2- BILL CLINTON
3- MARK ZUCKEBER
4- REGINALD MENGI
5- S.S. BAKHRESA
6- MO-DEWJI

ONGEZA NA WENGINE UNAOWAJUA...KISHA LINGANISHA NA HAO MASTAA WAKO WA KARNE 2 ZILIZOPITA ENZI ZA ZAMA ZA MAWE ZA KATI.
Asprin - La'Aziz kwa Heshima na Taadhima ninakuongeza kwenye hii list:p
 
We hujui msela ni mario??wanampenda wenyewe.

Nayeye anajibebisha sura yenyewe ngumu vile. Hizi mingo za kusema wananipenda wenyewe zimepitwa. Piga kazi mtoto wa kiume kisha unalimbikiza mafao.
 
Ukisikia paa ujue,,,,,

DOGO...TULIA DOZI IKUINGIE... KUJIFANYA UNAKUJA NA MISTARI YAKO NUSUNUSU YA BONGO FLEVA HAIKUSAIDII KITU.

ULIMWENGU WA SASA UNAKUTAKA KUWAJIBIKA KWA KILA TENDO UNALOLIFANYA KILA SIKU IENDAYO KWA MUNGU..."BEING A RESPONSIBLE HUMAN BEING IS MAJOR CRITERIA FOR ANY LIVING CREATURE UNDER THE SUN".

DUNIA YA LEO YENYE VERY LIMITED RESOURCES HAIWAHITAJI WATU WENYE UFINYU WA MAWAZO KAMA WEWE BWANA MDOGO...MANENO YA KIPUUZI UNAYOYAONGEA NA KUYAONA NI URIJALI.. KWA NCHI KAMA CHINA UMESHANYONGWA ZAMANI.

DUNIA INAHITAJI QUALITY HUMAN BEINGS..SIO UNACHANGIA POLUTION KWA KUONGEZA MIZIGO NA MWISHOWE UNAKUJA KUWASUMBUA VIONGOZI KAMA MAKONDA KUWATIMUA WATOTO WAKO MITAANI.

HUNA UWEZO WA KUMLEA NA KUMTUNZA MTOTO TOKEA ANAPOZALIWA MPAKA ANAPOMALIZA ELIMU YA CHUO KIKUU NA UWEZE PIA KUMUHAKIKISHIA AJIRA...SIDHANI KAMA UNASTAHILI KUZAA MTOT ZAIDI YA MMOJA.

ENDELEA KUCHAT KWA KUTUMIA BANDO ZA KIFURUSHI CHA CHUO PINDI UTAPOANZA KUJITEGEMEA UTAJUA NINI MAANA YA MAISHA.....

"PAMPAS ZIMEPANDA BEI NA MADOGO WANAKATA GOGO"...MTOTO WA KIGOGO BY ROMA MKATOLIKI.
 
Umeua kiongozi, kamooooooonioiiiiiiiii
 
Ahsante.
 
Hiv ni ufahar kwel tena na MTU anakuwa proud et nina watoto kila mmoja na mama ake. Hii dunia kwa kwel cjui tunaelekea wap?
 
Back
Top Bottom