Kumbe elimu sio lazima.

Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
918
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 918 280
Me nashangaa watanzania 2nang'ang'ania kusoma,na wkt ukiangalia wa2 walofankiwa ktk hu ulmwengu kama Bill gates,michael dell,roman abromovich na mark zuckerberg waliamua kudropp vyuon mwao na wakijiingya kwenye ujasiriliamali na leo mafanikio yao kila mtu anayaona..vijana wenzangu wa kitanzania hasa nyie mlonyimwa haki yenu na serikali kwa kukosa mikopo,inabidi mjiingze kwenye ujasiriamali ili na nyie muweze kucreat new jobs.kumbukeni kwamba hakuna tajiri katka hu ulmwengu ambae ni mwajiriwa wa ofisi flani,matajiri wote ni wa2 ambao wanamilik biashara zao,me naamin kwa elimu ya form 6 au 4 ulyopata una uwezo wa kuanzsha na kusimamia biashara yako vizur 2.

General mex

General mex

Senior Member
Joined
May 1, 2011
Messages
131
Likes
69
Points
45
General mex

General mex

Senior Member
Joined May 1, 2011
131 69 45
Kweli mkuu, Ila hata hiyo biashara haianzishwi bila mtaji, kwa hiyo ni lazima uajiriwe kwanza, au labda ukope au kama wazazi wako wako na hiyo miradi wakurithishe.

Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
918
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 918 280
Kweli mkuu, Ila hata hiyo biashara haianzishwi bila mtaji, kwa hiyo ni lazima uajiriwe kwanza, au labda ukope au kama wazazi wako wako na hiyo miradi wakurithishe.

mkuu,tanzania hi kuna familia ambayo haimilik hata ardhi ambayo m2 anaweza akalima thn huo ndo ukawa mtaji wake?

Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,430
Likes
3,484
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,430 3,484 280
Nakuomba utumie mifano ya hapa kwetu nyumbani.

rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
6,825
Likes
1,246
Points
280
Age
42
rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
6,825 1,246 280
nenda mbeya mbozi au tunduma kajifunze kwa vijana wadogo wanyiha wanavyofanya biashara kwa kutumia akili ya hali ya juu kabisa
mimi mchaga lakini niliyoyaona huko ni fundisho tosha kuwa kufanikiwa maisha sio lazima kwenda shule
niliona vijana wadogo hata hawajui kiingereza lakini mmoja alikuwa na mil160 bank,

mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,115
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,115 280
mkuu hao wenzio ni college drop out ambao huwezi wafananisha na bongo hapa,ungeweka mifano ya college drop out wa bongo hapa nikuelewe,

Bei Mbaya

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
2,264
Likes
231
Points
160
Bei Mbaya

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
2,264 231 160
Kuna tofauti kubwa kati ya kuacha shule na shule kukuacha

S

Shamge

Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
21
Likes
0
Points
0
S

Shamge

Member
Joined Sep 4, 2011
21 0 0
Swala lako la kujiari mwenyewe ni zuri zaiadi, ila kumbuka ya kwamba kwenye hii Dunia zipo nchi zilizoendelea na zinazoendelea, kwa hiyo huwezi kumshauri mtu wa nchi ziznazondelea eti atafute mtaji afanye biashara utakuwa hujamtendea haki kwanza kumbuka ya kwamba huyu mtu ametoka kwenye hizi familia ze2 duni, je capital atatoa wapi? na ukisema akope ataweka nini reahani? jambo la msingi mwache mtu asome ili apate elimu ndio akajiaajiri na ingekuwa ni kama uwazavyo kusingekuwa na maana ya kwenda advance kwani kikatiba msomi wa Tz ni yule anayejua kusoma na kuandika.
NAWASHAURI WOTE WALIOKIOSA MKOPO WAUNGE MKONO ILE PETITIOIN YA RAIA MWEMA YA LEO

Vanpopeye

Vanpopeye

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
610
Likes
37
Points
45
Vanpopeye

Vanpopeye

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
610 37 45
Uckwende kuxoma kama hujaambacha ukucha!:(

MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,163
Likes
1,005
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,163 1,005 280
Umemsahau Steve Jobs owner of the Apple computer, But kaka hiyo ni mbele mbele Kiafrica labda ucheze mpira kama kina George Weah, kanu, drogba na wengineo... But college drop out hutoki kirahisi,

Pia hata bongo Matajiri wengi wanaojulikana na hata wasiojulikana ni Wajasiriamali,,,, Hakuna Tajiri mwajiriwa Duniani.........

Mkillindy

Mkillindy

Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
37
Likes
0
Points
0
Mkillindy

Mkillindy

Member
Joined Sep 14, 2011
37 0 0
Yah, elimu c lazima, pessa ndo kila ki2. Huwezi kuwa na elimu ukaenda dukani kununua ki2 kwa kutumia cheti cha elimu yako

OTIS

OTIS

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Messages
2,142
Likes
13
Points
135
OTIS

OTIS

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2011
2,142 13 135
Acheni kutiana ujinga wakubwa,piga shule na ukienda kwenye biashara zako utafanikiwa.
Hao college drop outs sio kama huku.

K

KVM

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
1,819
Likes
344
Points
180
K

KVM

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
1,819 344 180
Fundisho kubwa ni kuwa hao uliowataja hawakulala usingizi tu na kuamua kuacha shule na kuanzisha biashara. Ukimchukua Bill Gates na Richard Branson kwa mfano, walikuwa wanasoma shule na wakati huohuo wanafanya vibiashara fulani. Baadaye wakaona biashara inachukua muda mwingi au ina nuru nzuri kuliko shule na hapo ndipo walipoachana na shule. Yaani, walipata pesa kabla ya kuacha shule.

Ushauri wangu ni kuwa usije ukaacha shule kutegemea biashara ambayo unaona tu watu wanafanya au ile ambayo ipo tu akilini mwako kama ndoto. Fanya hiyo biashara wakati unaendelea na shule halafu ndiyo uamue hapo baadaye. Na wanaspoti hivyo hivyo. Usiache shule ukidhania spoti itakuwa kila kitu. Hakikisha kweli unafanya vizuri sana kwenye hiyo spoti kiasi cha kuweza kupata mkataba na klabu kubwa yenye pesa nyingi kabla ya kuacha shule.

Kuhusu Mzee Bakhressa mimi namfahamu kidogo. Naye alisota kwa kiasi fulani japokuwa najua alikuwa na nyumba ya kupangisha mtaa wa Lumumba, Livingstone na Chui pale Kariakoo. Enzi zile biashara ya nyumba za kupangisha ilikuwa hailipi sana. Biashara iliyoanza kumwinua kidogo ilikuwa kiwanda cha kutengeneza barafu halafu ice cream cones kule Mburahati. Kabla ya hapo alikuwa pale Livingstone Street opposite na Azam Ice Cream business amabyo aliianzisha mwanzoni mwa miaka ya 80.

Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,430
Likes
3,484
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,430 3,484 280

kwan bakhresa ana shule gan mkuu,na mbona katoka?

unafahamu historia ya mali zake? Biligates na wenzake tunafahamu historia zao.
Tanzania ina zaidi ya watu 40milion, je waliotajirika wanaendana na idadi hiyo? Kama siyo kwanini?
Shule ni muhimu bana.

Forum statistics

Threads 1,251,173
Members 481,585
Posts 29,760,818