..Kumbe DIamondi hakuperform Jana....Hujuma tupu

..Kumbe DIamondi hakuperform Jana....Hujuma tupu

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,662
Reaction score
9,975
Mwakaribishwa kwenye fiesta part 2 bila kiingilio chochote leo mchana viwanja vya leaders dar es salaam
Kwenda kuwatazama wakina DAVIDI/Neli wa mitego/ALUMASI-DIAMOND etc
Mashabiki waliondoka uwanjani kuwahi nafasi za club (maisha/ambiance/etc)

Hii ni hujuma au ni nini?
 
diamond alikuwa amemsindikiza wema1 huko china ili akawekewe ngozi mbadala baada ya ngozi ya bibie kuharibiwa na madawa sijui hata kama wamerudi bongo.
 
Last edited by a moderator:
diamond alikuwa amemsindikiza wema1 huko china ili akawekewe ngozi mbadala baada ya ngozi ya bibie kuharibiwa na madawa sijui hata kama wamerudi bongo.

Wema kafiwa na baba yake mzazi,balozi Sepetu alfajiri hii..tumwache apumzike yupo kwenye kipindi kigumu sana..
 
Last edited by a moderator:
Walijua mapema kwamba mitambo magumashi ndo maana wakasema kauli mbiu FIESTA NOMA SANA NA KWELI IMEKUWA NOMA NA HAIBU SANA.
 
Mwakaribishwa kwenye fiesta part 2 bila kiingilio chochote leo mchana viwanja vya leaders dar es salaam
Kwenda kuwatazama wakina DAVIDI/Neli wa mitego/ALUMASI-DIAMOND etc
Mashabiki waliondoka uwanjani kuwahi nafasi za club (maisha/ambiance/etc)

Hii ni hujuma au ni nini?

We Diamond kafiwa na baba mkwe
 
Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kukubali kuwa wasanii 40 kuweza kutumbuiza jukwaa moja kwa usiku mmoja?
Hivi wangeleta Wana-bolingo 40 akina koffi ingekuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom