Kumbe Chit-Chat patamu

wewe mwanaume mbona unanizibia riziki?

Grenade usisikilize uzushi, njoo nikunyooshe viungo....

Halafu unajua Erickb52, kutoingia humu nimepitwa sana....yaani toka jana kumbe kuna vifaa vimeshuka....walaaaahi lazima niwekeze
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa unataka kuwekeza kwa Grenade ?
Lol pambana mama mi natafuta jiko jipya ila siowewe BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
wewe mwanaume mbona unanizibia riziki?

Grenade usisikilize uzushi, njoo nikunyooshe viungo....

Halafu unajua Erickb52, kutoingia humu nimepitwa sana....yaani toka jana kumbe kuna vifaa vimeshuka....walaaaahi lazima niwekeze

Asalalaah, BADILI TABIA huyu apa kaja mwenyewe. Karibu mamaa..
 
Last edited by a moderator:
Maskini Erickb52 huwa nakuonea huruma unavyowangia wake za watu halafu unaishia kupata vya juujuu kama vya kuku wakati wenzio wanachomeka mpaka wanapitiwa na usingizi we kazi yako kucopy na kupaste. halafu eti unanitaka nilishakwambia sikumind wala nini mi nipo na king'Amuzi changu Bishanga
 
Ndo maana haishi hiccups kwa kuzowea kudowea asivyopika
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…