Kumbe Chit-Chat patamu

heeeeee kaka upo?? huyo mtu kwenye avatar yako kama namfananisha?? cjui ndiye yy mpwa wa kikwete??
 
cacico hahaha leo nimekuota, siku nzima nakuwaza, nikasema nikimaliza kazi ntakupigia jioni, uko poa lakini?
 
Last edited by a moderator:

abiria chunga mzigo wako!!!!
hujambo kipenzi baba kijacho?
 
Last edited by a moderator:
Fata hiyo protokali likini kumbuka yaliyompata kamanda sharobaro watu hawayapendi yawatokee kabisa!
Zipo za kutosha Madame B ila nlikua nafata protocol coz kuna mtu alinielekeza nipitie kwako kwa ajili ya mwongozo, we mke wa mtu na nalitambua hilo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…