Kumbe checking in progress ya tcu ina manufaa!

Natanguliza Shukrani zangu binafsi kwa senator kwa kunipa moyo wakati mambo yangu yalipokua mabaya pale tcu..and namshukuru Mungu mambo yangu mpaka kwa sasa yako pouwa ingawa nimechagua kozi sita but nime qualify tano tu that means hakuna matata hope nitachaguliwa moja wapo wa kozi hizo tano nilizo QUALIFY..!! Tuko pamoja sana wana JF
 
pamoja sana dogo!!
 
Senetor huku naona unatawala na madogo wanakupa shukrani wakati sehemu zingine wanakuponda una majibu ya kipumbavu sana hadi kuna mjumbe akaomba ujishushe cheo na kujiita kuruta as senetor hulingani nacho,,,, long live senetor
 
SHUKURANI KAKA..!! Tuko pamoja sana afu hivi chuo lini?

kama utachaguliwa udsm,bas wiki ya kwanza ya mwezi wa kumi ndo wanafungua,ila vyuo vyote huwa vinafunguliwa mwez wa kumi kasoro saut ambao wenyewe huwa wanafungua mwezi wa tisa.
 
Senetor huku naona unatawala na madogo wanakupa shukrani wakati sehemu zingine wanakuponda una majibu ya kipumbavu sana hadi kuna mjumbe akaomba ujishushe cheo na kujiita kuruta as senetor hulingani nacho,,,, long live senetor

vp,usharudi kutoka india mkuu?
 
nashukuru zimekubali.
 
Bado mkuu, ila after 2 weeks nitakuwa town, vipi auditing firms recruitment zimekukosa mkuu? Au unaogopa assigment za two weeks limit.

wamenitosa mkuu,ila sio ishu sana,tutakomaa kibish 2.vp bi mkubwa anaendeleaje?
 
kama utachaguliwa udsm,bas wiki ya kwanza ya mwezi wa kumi ndo wanafungua,ila vyuo vyote huwa vinafunguliwa mwez wa kumi kasoro saut ambao wenyewe huwa wanafungua mwezi wa tisa.

Mkuu why umesema naweza enda UDSM but mimi nataka SUA..ni vigezo gani umeangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…