124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,522
Sijui lakini hii trend ya posts JF sikuhizi itabidi watu tutafute mbadala au tubaki kwenye majukwaa machache ambayo bado yako poa kama kule kwa nguli Chief Mkwawa au lianzishwe jukwaa premium kwa wasiopenda upuuzi upuuzi ambako huko post zitachujwa na qatu watachujwa sio kila kichwa samaki aingie akajaze upuuzi wake huko!