Dahh, ingawa hii inakuja a bit late, lakini ningependa kuchukuwa fursa hii kuwapa pole nyingi sana wana chadema kwa kushindwa Kitanzini, Iringa.
Kweli CCM sasa hawataki mchezo.

Magamba hayajui kuelezea achana nayo yanatapatapa
Dahh, ingawa hii inakuja a bit late, lakini ningependa kuchukuwa fursa hii kuwapa pole nyingi sana wana chadema kwa kushindwa Kitanzini, Iringa.
Kweli CCM sasa hawataki mchezo.
Wameshindwa nini mbona huweleki? Acha kukurupuka au ndo mapombe uliyokunywa yameshaanza kazi!
Mkuu haueleweki jaribu kutulia then ueleweke ili tukuelewe.Dahh, ingawa hii inakuja a bit late, lakini ningependa kuchukuwa fursa hii kuwapa pole nyingi sana wana chadema kwa kushindwa Kitanzini, Iringa.
Kweli CCM sasa hawataki mchezo.