Kumbe CHADEMA nao wasikitishwa!!

Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!

Si futuhi pekee bali pia hatumtofautishi na mashangingi wa kitaa kwa mtogole wakigombania mabwana.
 
Hakika Rais anapaswa amwombe radhi Mh. Tindu Lissu. Prezdaa sio saizi ya Lissu interms of IQ
 
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!

Kumbe Tundu siyo kiongozi ndiyo maana hana lugha za Kidiplomasia! anaita watu MICCM, MACCM.!!! au ndiyo UNAFIKI wake?
 
Hili sakata limenikumbusha msemo wa muosha huoshwa.
Lissu alipokuwa anatukana mlikuwa wapi?

si nayeye rais angesema we "lichadema" kuliko kuongea maneno ya mchiliku akihutubia taifa. hivi unaelewa hadhi ya rais?
na ukiacha ushabiki, lisu anahoja ilioyo na uzito. ni marangapi lisu anamshuhsu a rais na mwishoni rais anagundua lisu alikuwa anamuelza ukweli. fuatili kuhusu hili
 
hiyo MY TAKE yako uongo mtupu , cdm haisikitikii lugha iliyotumika , kinachosikitisha ni Jk kuukataa ukweli ili kumfurahisha wasira !
Huo ni uongo,fitina, uzushi, unafiki ,uchochezi na uzandiki-sera za Chama chenu, haka Mbowe kaanika ukweli huo.
 
Mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu
Kweli kabisa, tulilalamika hapa jamvini juu ya lugha ya Lissu, wajanja wakamsapoti tena na matusi juu.
Leo yeye naye katukanwa, tena kavuliwa nguo ya ustaarabu hadharani!!!
 
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!

na mbunge/mtunga sheria ni sawa kutukana?
 
Hili sakata limenikumbusha msemo wa muosha huoshwa.
Lissu alipokuwa anatukana mlikuwa wapi?
Mkuu wale wataalam wa CHADEMATUSI wote wameingia mitini, wakifikiri wanajua sasa wamepiata.
Ukiitwa muongo, mfitini,mnafiki na mzandiki basi elimu yote uliyonayo haiwezi kukusaidia kimaisha.
Tatizo wengine hawaambiliki!!
 
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!

Yule ndo kaka yao FUTUHI..Nimeambiwa, Nimeelezwa, Nimefahamishwa
 
Hata hivyo rais alimheshimu sana huyu bana mdogo;
Alitakiwa akumbushwe maadili kidogo.

Ukisikiliza vizuri hotuba ya Kikwete, utamsikia akisema ...

"... nimeambiwa kuwa Lissu ni moungo..."
"...nimesikia kuwa Lissu ni mnafiki..."
n.k...

Hii ina maana kuwa hata JK mwenyewe hana uhakika kuwa Lissu yukoje...!!
Yeye JK anasikia tu, anaambiwa tu, kuwa mtu fulani yuko hivi, au yuko vile...!!!
 
Mkuu wale wataalam wa CHADEMATUSI wote wameingia mitini, wakifikiri wanajua sasa wamepiata.
Ukiitwa muongo, mfitini,mnafiki na mzandiki basi elimu yote uliyonayo haiwezi kukusaidia kimaisha.
Tatizo wengine hawaambiliki!!

Kama akili zako ziko sawa ebu tafakari kauli hii,
''WANANCHI WA IRAMBA NAFUU MSINICHAGUE MIMI KULIKO KUMCHAGUA TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI''
Hii ni kauli ya Kikwete wakati wa Kampeni kule Iramba, je alikuwa namaanisha nini? ebu unganisha DOT's na haya yanayotokea na jinsi Lissu anavyowasumbua sasa.
 
He kumbe mnajua kuna maadili,basi sasa lisu amefungua njia iliyokuwa imeota mbigili kwa chama tawala.
 
Mkuu wewe ni muongo, mchonganishi , mfitini, mnafiki na mzandiki.
Mimi sikuweko huko!!
 
Mbowe anakiri kuwa wao wote ni wa "uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…