Kumbe CHADEMA nao wasikitishwa!!

Kumbe CHADEMA nao wasikitishwa!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,773
Reaction score
2,383
Nimeliona hili ndani ya gaezti la Majira leo 8/10/2013.
Na habari yenyewe inasema
"JK AMUOMBE RADHI LISSU-MBOWE

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) , kimemtaka Rais Jakaya Kikwete amuombe radhi Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Bw. Tundu Lissu.

Mwenyekiti wa Chama hicho Bw Freeman Mbowe, aliyasema hayao Dar es salaamjana wakati akifungua mkutano wa siku nne uliohusisha wataalamu wa chama hicho kutoka kanda zote nchini.
Alisema CHADEMA kimesikitishwa na hatua ya Rais Kikwete kumshambulia Bw. Lissu kwa maneno akidai hotuba yake ambayo aliisoma bungeni Mjini Dodoma katika bunge lililopita ilijaa uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu.

Bw Mbowe alisema , hotuba hiyo haikuwa ya Bw Lissu bali ilitolewa na Kambi rasmi ya Upinzani bungeni....."

My Take:
Mbowe atilie maanani kuwa inaelekea amesikitishwa na jinsi ujumbe ulivyofikishwa na Mh JK, lakini hajapinga kile kilichondani ya ujumbe wenyewe.
Pili, lugha zisizo na staha zimekuwa zikivumiliwa sana na viongozi wa CHADEMA, hapa majuzi tu ni Mh. Lissu huyu huyu alisikika akisema miCCM,maCCM, leo yamempata makubwa!
Inakuwaje tena kulalama wakati mmechagua kuwa hiyo ndo staili ya kufikisha ujumbe?
 
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!
 
Unapobanwa sana ni lazima utafute pa kutokea. Hilo ni jambo la kawaida kabisa.
 
Ni kawaida kwa chadema kulalama pale yanapofika makubwa hili la lisu linawasumbua kila kukicha,
Lisu amezoea kutukana wenzake na kutumia maneno ya kuudhi hata akiwa bungeni,
Lisu pia hajaanza leo huu unafiki wake ni wa siku nyingi ila jk alimvumilia sana kwani daima za mwizi ni arobaini sasa zimetimia kwa lisu kuambiwa ukweli wake kazidi umbea na unafiki.
 
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!
Cheki unavyohangaika na lisu wako kutwa kumtetea kwa talifa yako lisu ni bidhaa chakavu hanunuliki ni sawa na nyanya mbovu ambayo sokoni haikaa zaidi ya siku moja.
 
Hata hivyo rais alimheshimu sana huyu bana mdogo;
Alitakiwa akumbushwe maadili kidogo.
 
Mh. JK alikuwa anajikumbushia ile lugha aliyokuwa anaitumia alipokuwa anamtembelea Salma pale Chuo cha Elimu Nachingwea!
 
...JK alisema kile alichoambiwa,elezwa,fahamishwa hata kama ageelekezwa afanye hivyo dhidi ya wazazi wake si hajabu angetekeleza tu coz huo ndo ushauri aliopewa na washauri wake na yeye hakuwa namna nyingine...
 
Hata hivyo rais alimheshimu sana huyu bana mdogo;
Alitakiwa akumbushwe maadili kidogo.

Kwenye sakata hili la katiba kuna mahali ambapo Mh.Tundu Lisu alimuongelea Rais Kikwete kabla ya hotuba ya rais?? Nifahamishwe!
 
Nimeliona hili ndani ya gaezti la Majira leo 8/10/2013.
Na habari yenyewe inasema
"JK AMUOMBE RADHI LISSU-MBOWE

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) , kimemtaka Rais Jakaya Kikwete amuombe radhi Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Bw. Tundu Lissu.

Mwenyekiti wa Chama hicho Bw Freeman Mbowe, aliyasema hayao Dar es salaamjana wakati akifungua mkutano wa siku nne uliohusisha wataalamu wa chama hicho kutoka kanda zote nchini.
Alisema CHADEMA kimesikitishwa na hatua ya Rais Kikwete kumshambulia Bw. Lissu kwa maneno akidai hotuba yake ambayo aliisoma bungeni Mjini Dodoma katika bunge lililopita ilijaa uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu.

Bw Mbowe alisema , hotuba hiyo haikuwa ya Bw Lissu bali ilitolewa na Kambi rasmi ya Upinzani bungeni....."

My Take:
Mbowe atilie maanani kuwa inaelekea amesikitishwa na jinsi ujumbe ulivyofikishwa na Mh JK, lakini hajapinga kile kilichondani ya ujumbe wenyewe.
Pili, lugha zisizo na staha zimekuwa zikivumiliwa sana na viongozi wa CHADEMA, hapa majuzi tu ni Mh. Lissu huyu huyu alisikika akisema miCCM,maCCM, leo yamempata makubwa!
Inakuwaje tena kulalama wakati mmechagua kuwa hiyo ndo staili ya kufikisha ujumbe?
Haha...hajapinga kwa vile hadhani hata km JK naye alikuw ana shid ana ujumbe..Jk alikuwa na na shida na Lissu ndio maana hata ujumbe inaelekea hakuusoma..MBowe kamkumbusha kuwa ujumbe ni wa Chama....na hivyo JK arudi akausome vyema ili aje kiuliza chama.
 
Hata hivyo rais alimheshimu sana huyu bana mdogo;
Alitakiwa akumbushwe maadili kidogo.
lugha unayo tumia bar, ni tofauti unayo ongea nyumbani na familia yako sasa, sasa kwa rais je? na hata hivyo rais kajikita kusutana na lisu na kuasha maswala ya muhimu zaidi na kwa akili za kinafiki unasifia kitu ambacho unajua si sahihi!... inabidi katika mambo ya kitaifa tuangalie mambo kwa upana zaidi. ushauri tu!
 
Hili sakata limenikumbusha msemo wa muosha huoshwa.
Lissu alipokuwa anatukana mlikuwa wapi?
 
nimeliona hili ndani ya gaezti la majira leo 8/10/2013.
Na habari yenyewe inasema
"jk amuombe radhi lissu-mbowe

chama cha demokrasia na maendeleo (chadema ) , kimemtaka rais jakaya kikwete amuombe radhi mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, bw. Tundu lissu.

Mwenyekiti wa chama hicho bw freeman mbowe, aliyasema hayao dar es salaamjana wakati akifungua mkutano wa siku nne uliohusisha wataalamu wa chama hicho kutoka kanda zote nchini.
Alisema chadema kimesikitishwa na hatua ya rais kikwete kumshambulia bw. Lissu kwa maneno akidai hotuba yake ambayo aliisoma bungeni mjini dodoma katika bunge lililopita ilijaa uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu.

bw mbowe alisema , hotuba hiyo haikuwa ya bw lissu bali ilitolewa na kambi rasmi ya upinzani bungeni....."

jamani hivi haya maneno kwa jk hamjayazoea tu maana kila anayemuudhi ndio maneno yake, nayafananisha na point za history ukishindwa swali unaandika, land alianation, forced labour na taxation. Haya ni wimbo wake kutwa cha muhimu ni kumsikiliza na kuyaacha tu kama yalivyo.
 
tobo loso ni mteja wa mtaa wa mirembe

Join Date 24th September 2013 Last Activity Today 11:38 Avatar
unknown.gif
 
hiyo MY TAKE yako uongo mtupu , cdm haisikitikii lugha iliyotumika , kinachosikitisha ni Jk kuukataa ukweli ili kumfurahisha wasira !
 
Unapobanwa sana ni lazima utafute pa kutokea. Hilo ni jambo la kawaida kabisa.

nikweli inawezekana umembana LAKINI UKWELI RAISI LAZIMA AONGEE LUGHA YA KIRAISI NA SI KAMA MPIGA DEBE!
 
Back
Top Bottom