Kumbe Chadema imepoteza mtu muhimu- Professor

Kumbe Chadema imepoteza mtu muhimu- Professor

Umenena vema mkuu, ukiwaongoza watu ambao wengi wao uwezo wao wa kuchambua mambo na kufikiri ni mdogo, hauhitaji kuwa na elimu kubwa. Kila unachowaambia wanakubali bila kuhoji. Wanaweza kuaminishwa kuirahisi kuwa video ya ugaidi imetengenezwa lakini waraka wa kumchaua fulani haujatengenezwa!

Wanaambiwa kuwa chama fulani kinajipambanua kwa kupinga ufisadi wakati Mwenyekiti wa chama hicho hicho anachukua rushwa kwa mgombea fulani ili asipige kampeni jimboni mwake apite bila kupingwa!

Hahahahaaaaa, hii ndo Tanzania na mambo yake
 
Umepiga penyewe...
 
- Mkuu cheki tena source yako, maana anayetayarishwa ni yule mwanadada wa Vodacom ambaye hakosi picha yake Michuzi atleats kila wiki, I mean anayetayarishwa ni dada mtu na sio kaka, haya tulishayasema hapa JF longtime ago!

- Makamba aliharibu sana huko kwao, alipojaribu kumharibu Kigoda hakuna wa kumsikiliza tena huko maana alimuuudhi hata Muungwana on that, ambaye alimkaripia sana kwenye kikao cha CC Dodoma, kilichowaokoa wabunge wa Arusha "waliokamatwa na rushwa".

Respect.

Field Marshall Es!

Wametupaaa jembee cjui wanategemea kulima na nn
 
Profesa JUMANNE MAGEMBE
profesa MAJI MAREFU
Profesa PETER MSOLWA
profesa JUMA KAPUYA
Profesa MAKAME MBARAWA
Profesa SOSPETER MUHONGO
Profesa Rwekaza Mkandara
Dr Benson Bana
...
...
...
...
...
...

HAO MAPROFESA WOTE NILIOWATAJA NA WENGINE KWA MAFUNGU WANA MSAADA GANI KWA NCHI HII?

BASI NDO SAWA KABISA NA HUYO MKUMBO.
.

Profesa my azz
 
Back
Top Bottom