MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 703
Nilikuwa naangalia BBC taarifa ya habari, mara naona Kikeke akimhoji niliyekuwa namjua km Dr Kitila Mkumbo, kumbe kesha ukwaa U-Professor. Sijui ni lini kaupata lakini ni prof tayari. ndo nikaona kumbe chadema imepoteza kichwa muhimu sana. Hongera sana Prof Mkumbo Kitila kwa hatua hiyo