Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,448
Amenifurahisha Prof Shivji leo katika mihadhara ya katiba kwenye ITV...kumbe kejeli dhidi ya CCM ni za siku nyingi!!!
Shivji anasema zamani kwenye 1970s wakiwa wahadhiri vijana pale UDSM walikuwa wakienda Ubungo kunywa chai kwenye vijihoteli vidogo dogo pale na kuna baadhi ya watu akiingia hotelini, oda yake ya breakfast utamsikia akisema, lete CCM yaani CHAI CHAPATI MAANDAZI:lol: