Kumbe Bora Niwe 'Bachela'

Hakuna kitu vyote vinaumuhimu wake na asala zake pia.
 
Can't imagine life without my cutee...
mengine tunajifariji tu...!
 
Umetaja faida tu ambazo hazina matatizo kiafya, hebu taja hasara kama hizi
1:kupiga punyeto
2:hasira za mara kwa mara
3:unakua mpumbavu na limbukeni baadae ukija kupendwa
4:wengi wao wanapata maradhi kama mgongo, na kupiga punyeto
6:hawana hekima linapotokea tatizo
 
acha kujifariji yale maumbile yameumbiwa yawe shirikishi yaani vinashirikiana na kutegemeana haswaaaa
 
Lazima umaanishe kuwa unataka kuwa single! Baadhi ya viongozi wa dini uzalendo uliwashinda, sembuse wewe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…